Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

Magufuli anafanya ujinga wote huu kwa matakwa na msaada wa katiba yetu mbovu.

Binafsi nataka Magufuli aendelee na ukqndamizaji huu ili watanzania ambao asilimia kubwa ni maiti zinazotembea wafufuke Maana hawajielewi kabisa.

Hali hii ikiendelea watanzania watafufuka na kwa pamoja wataanza kupaza sauti ya kudai katiba mpya.
 
Tatizo siyo yeye, tatizo ni katiba inampa mwanya wa kufanya hivyo
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Mkapa aliyesema CCM inajiona iko pekee kwenye siasa naye anauza dawa za kulevya?

Jaribu kuwa na mawazo huru ndugu.

Kutumiwa kisiasa ni aina ya utumwa.

Wengi walitumika kama wewe mwisho wa siku walijiona wapuuzi baada ya kunufaisha watu mwisho wa siku walitupwa kama takataka.

Yaani umejiweka wazi kuwa unatumika bila kificho.
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Wewe na nani unampenda huyo mwehu....unalipwa buku saba kutetea ushetani...M.s.e.n.g.e kweli wewe
 
Kelele za mlango hazimzuii ng'ombe kunywa maji, sisi tunataka maendeleo hatutaki mikutano na maandamano yasiyo tija.
Nendeni mkaungane kama muna nia njema mje na nia moja lakini kwa jinsi mlivyo sasa mtachemka mpaka 2050 mna ubinafsi kuliko mnachokitetea kwa midomo yenu.
 
Tena kinyume
 
Misemo ya kikahaba hiyo.
 
Huyu ni Jiwe ni Dikteta.
Udikteta ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.

Lakini tabia muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
Tabia muhimu ya demokrasia ni mgawanyo wa madaraka na humo uhuru wa mahakama. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya kesi. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.

Polisi inapewa nafasi ya kuwatesa watu na hii ni aina ya adhabu bila sheria wala mahakama. Mara nyingi polisi zinapewa pia nafasi ya kuua watu hovyo au kuwafunga ndani bila kesi kusikilizwa mahakamani.
Uhuru wa maoni unabanwa au hata kupigwa marufuku kabisa. Serikali inasimamia vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni. Kutolewa kwa maoni yasiyopendwa na serikali ni vigum
 
Umeuliza jibu kamili.Watawala wa kiafrica uzigeuza nchi mali zao binafsi,ni muendelezo wa ubinafsi wa mwafrika,sie bado sio mature
 
Hao dawa yake unawafanyia ile Kitu Kleluu aliifanya huko Iringa kwa mkuu wa Mkoa miaka hiyooo. Zamani watu walikuwa na Akili sana hawakupenda kudharauliwa na Mabashite.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Huyu pia wanamlia timing tuu... huyo Kleruu alikuwa nae yuko kama Makonda
 
Yaani wewe coment yako kila uzi ni maneno hayo tuu.
Kubahatika kuwa na kazi uliyonayo usijione wewe ndio kubwa lao kuna watanzania wasiona na kosa wanaumia na kuteseka na haki yao hawapewi hivyo heshimu kila mmoja
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
 
Pole ndugu yangu maana umeandika kwa hisia kwelikweli!
Ni kweli watanzania wengi tunashare hisia, uchungu na masikitiko makubwa sana kuhusu hali hiyo; ni dhahiri pia kwamba jambo hilo litaacha athari kubwa sana kwa nchi yetu mama Tanzania, kiza kinene; giza tororo linaikabili hatma ya nchi yetu Mama tanzania!!
Tusife moyo, na wala tusikate tamaa; tuendelee kuwa "engaged" kwa AKILI, KWA MAWAZO NA KWA VITENDO, tushikamane nina hakika tutavuka; VIONGOZI HUJA NA HUONDOKA LAKINI MAMA TANZANIA ITABAKI,
 
Uandishi wako tu unaonesha unachuki ya hali ya juu
inawezekana nawe chuma kimekugusa kwa namna moja au nyingine
polee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…