Huo ndiyo ukweli, ingawa wale watu wa "praise and worship for Magufuli" wanaendeleza propaganda za kumfanya Magu kuwa kama mungu-mtuHuyu ni Jiwe ni Dikteta.
Udikteta ni mfumo wa utawala wa nchi ambapo mtu mmoja asiyebanwa na sheria wala katiba anashika madaraka ya serikali na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.
Lakini tabia muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
Tabia muhimu ya demokrasia ni mgawanyo wa madaraka na humo uhuru wa mahakama. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya kesi. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.
Polisi inapewa nafasi ya kuwatesa watu na hii ni aina ya adhabu bila sheria wala mahakama. Mara nyingi polisi zinapewa pia nafasi ya kuua watu hovyo au kuwafunga ndani bila kesi kusikilizwa mahakamani.
Uhuru wa maoni unabanwa au hata kupigwa marufuku kabisa. Serikali inasimamia vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni. Kutolewa kwa maoni yasiyopendwa na serikali ni vigum
J, XNgoja waje..
Wewe ndugu unajiletea ugonjwa wa Moyo bure,Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia madarakani, aliapa kuwa ataitii na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Katiba hiyo katika ibara ya 3(1) inaeleza kuwa nchi yetu itafuata misingi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi
Hebu sasa tuangalie kama kweli nchi yetu inafuata misingi ya kidemokrasia na ni ya vyama vingi??
Jibu langu kwa swali hilo ni HAPANA kubwa sana
Hebu kwanza tupate tafsiri ya neno Demokrasia, kama ilivyotafsiriwa kwenye kamusi ya kiswahili kuwa Demokrasia maana yake ni serikali iliyochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki na watu hao wakiwa ndiyo wenye kauli ya mwisho ya namna wanavyotaka serikali yao itakavyoendeshwa
Hilo swala la pili kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, tafsiri yake iko wazi kabisa, kuwa vyama hivyo ni LAZIMA vipate haki sawa katika uendeshaji wa shughuli zao
Tuje kwenye uhalisia wa mambo yanavyoendeshwa hapa nchini
Tulimuona Rais Magufuli, mara tu alipoingia madarakani mwaka 2015, akivipiga marufuku vyama vyote vya kisiasa vya upinzani hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM kila kukicha tukiwaona wakichanja mbuga nchi nzima wakikifanyia kampeni chama chao cha CCM!
Nimuulize Rais wangu Magufuli, hivi hiyo kuvupiga marufuku vyama vya kisiasa vya upinzani, alitumia ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977??
Tunashuhudia pia uchaguzi wa serikali ya mitaa ukivurugwa kwa kiasi kikubwa sana na wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM, wakiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, hivi kwa kufanya hivyo ndiyo wanatekeleza kwa vitendo kuwa uongozi wa nchi hii watachaguliwa na wananchi katika maeneo yao, kwa kutumia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki??
Tunashuhudia pia kuwa pamoja na kuvurugika kwa kiasi cha kutisha uchaguzi huu na pamoja na miito mbalimbali ya vyama vya kisiasa vya upinzani kuwa ufutwe na upangwe upya chini ya Tume huru ya uchaguzi, tunashuhidia viongozi walioko madarakani wakisisitiza kuwa uchaguzi huo utaendelea hivyo hivyo licha ya kilio cha wapinzani kuwa ufutwe
Hivi kwa mifano hiyo michache niliyoitoa, nitakuwa nakosea kweli, nikisema kuwa Rais Magufuli ameamua kwa makusudi kabisa, kuisigina Katiba ya nchi na kulifanya Taifa hili na watu wake kuwa mali yake binafsi??
Nakaribisha hoja zitolewe kwa kuzingatia maslahi mapana na kuangalia mustakabali wa Taifa hili ambalo sisi wananchi wake hatupendi lisambaratike
Kwani wewe,siku hizi umeacha biashara ya kuuza sembe?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Hauna AkiliWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia madarakani, aliapa kuwa ataitii na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Katiba hiyo katika ibara ya 3(1) inaeleza kuwa nchi yetu itafuata misingi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi
Hebu sasa tuangalie kama kweli nchi yetu inafuata misingi ya kidemokrasia na ni ya vyama vingi??
Jibu langu kwa swali hilo ni HAPANA kubwa sana
Hebu kwanza tupate tafsiri ya neno Demokrasia, kama ilivyotafsiriwa kwenye kamusi ya kiswahili kuwa Demokrasia maana yake ni serikali iliyochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki na watu hao wakiwa ndiyo wenye kauli ya mwisho ya namna wanavyotaka serikali yao itakavyoendeshwa
Hilo swala la pili kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, tafsiri yake iko wazi kabisa, kuwa vyama hivyo ni LAZIMA vipate haki sawa katika uendeshaji wa shughuli zao
Tuje kwenye uhalisia wa mambo yanavyoendeshwa hapa nchini
Tulimuona Rais Magufuli, mara tu alipoingia madarakani mwaka 2015, akivipiga marufuku vyama vyote vya kisiasa vya upinzani hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM kila kukicha tukiwaona wakichanja mbuga nchi nzima wakikifanyia kampeni chama chao cha CCM!
Nimuulize Rais wangu Magufuli, hivi hiyo kuvupiga marufuku vyama vya kisiasa vya upinzani, alitumia ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977??
Tunashuhudia pia uchaguzi wa serikali ya mitaa ukivurugwa kwa kiasi kikubwa sana na wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM, wakiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, hivi kwa kufanya hivyo ndiyo wanatekeleza kwa vitendo kuwa uongozi wa nchi hii watachaguliwa na wananchi katika maeneo yao, kwa kutumia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki??
Tunashuhudia pia kuwa pamoja na kuvurugika kwa kiasi cha kutisha uchaguzi huu na pamoja na miito mbalimbali ya vyama vya kisiasa vya upinzani kuwa ufutwe na upangwe upya chini ya Tume huru ya uchaguzi, tunashuhidia viongozi walioko madarakani wakisisitiza kuwa uchaguzi huo utaendelea hivyo hivyo licha ya kilio cha wapinzani kuwa ufutwe
Hivi kwa mifano hiyo michache niliyoitoa, nitakuwa nakosea kweli, nikisema kuwa Rais Magufuli ameamua kwa makusudi kabisa, kuisigina Katiba ya nchi na kulifanya Taifa hili na watu wake kuwa mali yake binafsi??
Nakaribisha hoja zitolewe kwa kuzingatia maslahi mapana na kuangalia mustakabali wa Taifa hili ambalo sisi wananchi wake hatupendi lisambaratike
Umeona mwenzako Addo hadi kaongea na Rais live!Kivipi Mkuu Njinjo?
mzee anaNimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia madarakani, aliapa kuwa ataitii na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Katiba hiyo katika ibara ya 3(1) inaeleza kuwa nchi yetu itafuata misingi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi
Hebu sasa tuangalie kama kweli nchi yetu inafuata misingi ya kidemokrasia na ni ya vyama vingi??
Jibu langu kwa swali hilo ni HAPANA kubwa sana
Hebu kwanza tupate tafsiri ya neno Demokrasia, kama ilivyotafsiriwa kwenye kamusi ya kiswahili kuwa Demokrasia maana yake ni serikali iliyochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki na watu hao wakiwa ndiyo wenye kauli ya mwisho ya namna wanavyotaka serikali yao itakavyoendeshwa
Hilo swala la pili kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, tafsiri yake iko wazi kabisa, kuwa vyama hivyo ni LAZIMA vipate haki sawa katika uendeshaji wa shughuli zao
Tuje kwenye uhalisia wa mambo yanavyoendeshwa hapa nchini
Tulimuona Rais Magufuli, mara tu alipoingia madarakani mwaka 2015, akivipiga marufuku vyama vyote vya kisiasa vya upinzani hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM kila kukicha tukiwaona wakichanja mbuga nchi nzima wakikifanyia kampeni chama chao cha CCM!
Nimuulize Rais wangu Magufuli, hivi hiyo kuvupiga marufuku vyama vya kisiasa vya upinzani, alitumia ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977??
Tunashuhudia pia uchaguzi wa serikali ya mitaa ukivurugwa kwa kiasi kikubwa sana na wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM, wakiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, hivi kwa kufanya hivyo ndiyo wanatekeleza kwa vitendo kuwa uongozi wa nchi hii watachaguliwa na wananchi katika maeneo yao, kwa kutumia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki??
Tunashuhudia pia kuwa pamoja na kuvurugika kwa kiasi cha kutisha uchaguzi huu na pamoja na miito mbalimbali ya vyama vya kisiasa vya upinzani kuwa ufutwe na upangwe upya chini ya Tume huru ya uchaguzi, tunashuhidia viongozi walioko madarakani wakisisitiza kuwa uchaguzi huo utaendelea hivyo hivyo licha ya kilio cha wapinzani kuwa ufutwe
Hivi kwa mifano hiyo michache niliyoitoa, nitakuwa nakosea kweli, nikisema kuwa Rais Magufuli ameamua kwa makusudi kabisa, kuisigina Katiba ya nchi na kulifanya Taifa hili na watu wake kuwa mali yake binafsi??
Nakaribisha hoja zitolewe kwa kuzingatia maslahi mapana na kuangalia mustakabali wa Taifa hili ambalo sisi wananchi wake hatupendi lisambaratike
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Kamuulize Musiba aliwataja live wauza madawa mnajifanya hamkumsikia!Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Katika hizo tuhuma zako nitajie mmojawapo kutoka upinzanzani! Na hii kauli jumuishi ya sisi Nani kakupa ruhusa ya kuwasemea? Jifunze kujieleza na kujielekeza kihoja bila kutafuta pa kukishika unapotapatapa mithili ya mfa maji!Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Toa mifano ya kilichofanywa na ccm kwa over 50 years Kisha ulinganishe na vyama vya nchi nyingine vilivyo na umri sawa na ccm nione hiyo tofauti!!
!
Pamoja Na Hayo Yoooooote
Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia Sisiemu Haijafanya Lolote
Bashite hawezi kukuelewa ,tangia anajoin watu wslishamjua ni DAB kwa hiyo anafagilia ugali wa familiaMkapa aliyesema CCM inajiona iko pekee kwenye siasa naye anauza dawa za kulevya?
Jaribu kuwa na mawazo huru ndugu.
Kutumiwa kisiasa ni aina ya utumwa.
Wengi walitumika kama wewe mwisho wa siku walijiona wapuuzi baada ya kunufaisha watu mwisho wa siku walitupwa kama takataka.
Yaani umejiweka wazi kuwa unatumika bila kificho.
Wewe utakuwa ni Jesca Magufuli au Mama Janeth Magufuli,umemuelewa mtoa post?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki