Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

Huo ndiyo ukweli, ingawa wale watu wa "praise and worship for Magufuli" wanaendeleza propaganda za kumfanya Magu kuwa kama mungu-mtu
 
Wewe ndugu unajiletea ugonjwa wa Moyo bure,
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Kwani wewe,siku hizi umeacha biashara ya kuuza sembe?
 
Hawezi hats kidogo
 
mzee ana

Mzee anapenda sifa balaa.
 
Tanzania ya Magufuli


Itakua Tanzania yaaaaa....
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha

Wachache ni nyie mimi usinihesabu kwenye upuuzi wako
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Kamuulize Musiba aliwataja live wauza madawa mnajifanya hamkumsikia!
 
Asante kwa hoja!

Dhana ya maendeleo na demokrasia ni pana sana , kila mtu anaweza kuizungumzia kulingana na uelewa wake!

Tuelewe kwanza demokrasia kwa mara ya kwanza ilitumiwa na watu wa Ancient Greek ( Athens) miaka zaidi ya 300BC iliyopita, na ikumbukwe kwamba hawa ndio waliokuwa na demkrasia ya kweli!

Mnamo karne za 17 na 18 nchi nyingine kama ulaya demokrasia ilienea japo kwa mtutu wa bunduki! Kuna watu walimwaga damu ktk kupigania demokraisa rejea Ufaransa , Uingereza nk , miaka baadae Marekani nae alikuja kuona haja ya kuwa na demokraisa kipindi cha Ablaham Lincoln!

Marekani moja kati ya sababu zake za kueneza hiki kitu ilikuwa kwamba apate nguvu na wafuasi hasa ktk sera zake za uchumi na kuziminya nchi nyingne za mataifa ambazo ziliathiriwa sana na Vita .

Nchi kama Urusi na Uchina kwa mfano hazikuwahi kuota kuwa na mfumo wa demokrasia kwani ziliamini kuwa kuwa na uhuru huo ni kuchelewesha maendeleo, ndio maana sera za Gorbachev za Grasnost na perostroika ziliiangusha nguvu ya USSR !

Kwa mujibu wa nchi hizo ni ngumu sana kuendelea kwa kuruhusu uhuru wa kila kitu ! Rejea nchi hzo!

Afrika tumekuwa na tawala za kichifu na kitemi hali inayotuwia ngumu kuwa na kitu inaitwa demokrasia !

Mwisho! Demokrasia bila barabara, vituo vya afya, uwajibikaji na hamasa ya watu kufanya kazi ni bure na tutapiga kelele lakin ukweli utabaki pale pale, watu tufanye kazi na tuache kulalamika kwa kazi ambazo tunaziona kabisa , tuache kujifanya wanaharakati wakati hata familia zetu zimetushinda!

Kati ya marais wanaofanya kazi Afrika Magufuli anastahili, tuache unafiki tumpeni anachostahili mengine tukosoeni lakn kwa hapa stakuja kukaa kmya !
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Katika hizo tuhuma zako nitajie mmojawapo kutoka upinzanzani! Na hii kauli jumuishi ya sisi Nani kakupa ruhusa ya kuwasemea? Jifunze kujieleza na kujielekeza kihoja bila kutafuta pa kukishika unapotapatapa mithili ya mfa maji!
Kisha, jifunze kuwa mtu mwenye hekima na busara na siyo kuendekeza ukasuku wa kuimba chorus ileile ambayo imeshachuja!
Huyo mkuu wako wa mkoa vyeti vyake vina sifa? Jiongeze dogo ili uache kula majimbo na matapishi ya walevi wa ccm!
 
!
!
Pamoja Na Hayo Yoooooote

Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia Sisiemu Haijafanya Lolote
Toa mifano ya kilichofanywa na ccm kwa over 50 years Kisha ulinganishe na vyama vya nchi nyingine vilivyo na umri sawa na ccm nione hiyo tofauti!
Nitakuja mmoja nao ni Singapore ambayo hatukuwa tofauti sana kimaendeleo miaka 50 iliyopita, lakini leo wakoje?
 
Bashite hawezi kukuelewa ,tangia anajoin watu wslishamjua ni DAB kwa hiyo anafagilia ugali wa familia
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Wewe utakuwa ni Jesca Magufuli au Mama Janeth Magufuli,umemuelewa mtoa post?
Soma tena na ujibu kwa hoja!
 
Mtu akishakuwa rais wa nchi hii tayari nchi inakuwa mali yake kwa mjibu wa katiba hiyohiyo aliyoapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…