Siyo kweliMtu akishakuwa rais wa nchi hii tayari nchi inakuwa mali yake kwa mjibu wa katiba hiyohiyo aliyoapa
Mimi natamani kuona ikianzishwa movement ya kumung'oa madarakani then nione hicho kinachoitwa uhaini kama kuna mtanzania mwendawazimu atakisemaNimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia madarakani, aliapa kuwa ataitii na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Katiba hiyo katika ibara ya 3(1) inaeleza kuwa nchi yetu itafuata misingi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi
Hebu sasa tuangalie kama kweli nchi yetu inafuata misingi ya kidemokrasia na ni ya vyama vingi??
Jibu langu kwa swali hilo ni HAPANA kubwa sana
Hebu kwanza tupate tafsiri ya neno Demokrasia, kama ilivyotafsiriwa kwenye kamusi ya kiswahili kuwa Demokrasia maana yake ni serikali iliyochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki na watu hao wakiwa ndiyo wenye kauli ya mwisho ya namna wanavyotaka serikali yao itakavyoendeshwa
Hilo swala la pili kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, jibu lake liko wazi kabisa, kuwa vyama hivyo ni LAZIMA vipate haki sawa katika uendeshaji wa shughuli zao
Tuje kwenye uhalisia wa mambo yanavyoendeshwa hapa nchini
Tulimuona Rais Magufuli, mara tu alipoingia madarakani mwaka 2015, akivipiga marufuku vyama vyote vya kisiasa vya upinzani kutofanya mikutano yoyote ya kisiasa hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM kila kukicha tukiwaona wakichanja mbuga nchi nzima wakikifanyia kampeni chama chao cha CCM!
Nimuulize Rais wangu Magufuli, hivi hiyo kuvipiga marufuku vyama vya kisiasa vya upinzani, visifanye mikutano yoyote ya kisiasa, alitumia ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977??
Tunashuhudia pia uchaguzi wa serikali ya mitaa ukivurugwa kwa kiasi kikubwa sana na wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM, wakiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, hivi kwa kufanya hivyo ndiyo wanatekeleza kwa vitendo kuwa uongozi wa nchi hii watachaguliwa na wananchi katika maeneo yao, kwa kutumia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki??
Tunashuhudia pia kuwa pamoja na kuvurugika kwa kiasi cha kutisha uchaguzi huu na pamoja na miito mbalimbali ya vyama vya kisiasa vya upinzani kuwa ufutwe na upangwe upya chini ya Tume huru ya uchaguzi, tunashuhudia viongozi walioko madarakani wakisisitiza kuwa uchaguzi huo utaendelea hivyo hivyo licha ya kilio cha wapinzani kuwa ufutwe
Hivi kwa mifano hiyo michache niliyoitoa, nitakuwa nakosea kweli, nikisema kuwa Rais Magufuli ameamua kwa makusudi kabisa, kuisigina Katiba ya nchi na kulifanya Taifa hili na watu wake kuwa mali yake binafsi??
Nakaribisha hoja zitolewe kwa kuzingatia maslahi mapana na kuangalia mustakabali wa Taifa hili ambalo sisi wananchi wake hatupendi lisambaratike
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!

Huyo si wa kumjibu, ubongo alishaacha Lumumba muda tu.Hivi huwezi kujenga hoja zinazoeleweka hata kama una akili ndogo!!!
Wapo wenye vyeti feki waliosonga mbele na kuendelea na maisha na weshasahau kama walikuwa wanapokea mshahara. Wengine huenda watachangia kampeni za ccm.Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Absolutely true Mkuu Zakaria Lang'oSi kweli hata kidogo. Sema tuna Rais mwenye hulka isiyoheshimu maandishi. Na mbaya zaidi Taasisi za udhibiti wa Urais hazina nguvu maana zinaongozwa na watu dhaifu kama Ndugai na Jaji mkuu!!!
Waambieee[emoji1241][emoji818]ni magufuli tuu....2020=2025Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Wananchi huwa tunajiuliza hivi hawa wateule wake ambao huwa wanaisigina waziwazi kwa vitendo vyao na wananchi tumepiga kelele sana, lakini yeye Rais ameamua kuweka pamba masikioni.
Nitatoa mifano michache, akina Bashite, Ole Sabaya, Chalamila na Gambo, just to mention a few, ambao wamekuwa "untouchables" kwa kuwa ni wateule wa Rais na yeye hasikilizi kelele za wapiga debe!
Hivi hiyo ndiyo kutekeleza kweli ile tafsiri ya demokrasia kuwa ni serikali ya watu inayochaguliwa na watu kwa ajili ya kuwatumikia watu??
Nimekumbukua hotuba moja ya Mwalimu Nyerere alikuwa anasimulia enzi za utawala wake,kila mara kitaka kuachia kiti cha uraisi baadhi ya mawaziri/viongozi wa awamu yake walikuwa wanamwambia mwalimu hapana endelea nchi bado haijakaa sawa,wewe endelea tu,alikuja kugundua kumbe wale wapiga pambio waliokuwa wanamwambia endelea kumbe walikuwa wanamwambia vile kwa maslahi binafsi yao tu wanajua akiachia ngazi huyo raisi atakayekuja anaweza asiwaweke kwenye mlo.Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Nchi hii ni Mali ya Mungu na ndiye aliyetuumba na ni yeye pekee ndiye anayejua siku yetu ya mwisho ya kuishi hapa duniani..........
Kwa binadamu yoyote kwa ulevi tu wa madaraka, kwa kuamini kuwa amezungukwa na majeshi ambayo yanamtiii yeye akaamini kuwa ana uwezo unaofanana na Mungu anajidanganya waziwazi na anafanya kufuru kubwa sana!
uko sahihiWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Ndiyo hiyo "praise and worship team for Magufuli"Hivi mtu akisema serikali imafanya hili au lile hatutajua ni hii ya awamu ya tano. Basi kwa nini waseme kila wakati serikali ya awamu ya tano chini ya ... Na saa nyingine tunaweza kusema Mungu ametuwezesha kufanya .... Sifa zimwemdee Mungu zaidi mbona ni mtu tuu hadi tunasema kulikoni
Awamu ya 5 inafanya vizuri, nyie mnaopinga mna lenu jambo. Tumpe ushirirkiano wa kutosha ili nchi izidi kusonga mbeleNimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia madarakani, aliapa kuwa ataitii na kuiheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977
Katiba hiyo katika ibara ya 3(1) inaeleza kuwa nchi yetu itafuata misingi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi
Hebu sasa tuangalie kama kweli nchi yetu inafuata misingi ya kidemokrasia na ni ya vyama vingi??
Jibu langu kwa swali hilo ni HAPANA kubwa sana
Hebu kwanza tupate tafsiri ya neno Demokrasia, kama ilivyotafsiriwa kwenye kamusi ya kiswahili kuwa Demokrasia maana yake ni serikali iliyochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki na watu hao wakiwa ndiyo wenye kauli ya mwisho ya namna wanavyotaka serikali yao itakavyoendeshwa
Hilo swala la pili kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, jibu lake liko wazi kabisa, kuwa vyama hivyo ni LAZIMA vipate haki sawa katika uendeshaji wa shughuli zao
Tuje kwenye uhalisia wa mambo yanavyoendeshwa hapa nchini
Tulimuona Rais Magufuli, mara tu alipoingia madarakani mwaka 2015, akivipiga marufuku vyama vyote vya kisiasa vya upinzani kutofanya mikutano yoyote ya kisiasa hadi mwaka 2020, wakati yeye na chama chake cha CCM kila kukicha tukiwaona wakichanja mbuga nchi nzima wakikifanyia kampeni chama chao cha CCM!
Nimuulize Rais wangu Magufuli, hivi hiyo kuvipiga marufuku vyama vya kisiasa vya upinzani, visifanye mikutano yoyote ya kisiasa, alitumia ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977??
Tunashuhudia pia uchaguzi wa serikali ya mitaa ukivurugwa kwa kiasi kikubwa sana na wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM, wakiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani, hivi kwa kufanya hivyo ndiyo wanatekeleza kwa vitendo kuwa uongozi wa nchi hii watachaguliwa na wananchi katika maeneo yao, kwa kutumia sanduku la kura, katika uchaguzi ulio huru na wa haki??
Tunashuhudia pia kuwa pamoja na kuvurugika kwa kiasi cha kutisha uchaguzi huu na pamoja na miito mbalimbali ya vyama vya kisiasa vya upinzani kuwa ufutwe na upangwe upya chini ya Tume huru ya uchaguzi, tunashuhudia viongozi walioko madarakani wakisisitiza kuwa uchaguzi huo utaendelea hivyo hivyo licha ya kilio cha wapinzani kuwa ufutwe
Hivi kwa mifano hiyo michache niliyoitoa, nitakuwa nakosea kweli, nikisema kuwa Rais Magufuli ameamua kwa makusudi kabisa, kuisigina Katiba ya nchi na kulifanya Taifa hili na watu wake kuwa mali yake binafsi??
Nakaribisha hoja zitolewe kwa kuzingatia maslahi mapana na kuangalia mustakabali wa Taifa hili ambalo sisi wananchi wake hatupendi lisambaratike
Tunashangaa kwanini mpaka sasa awamu ya 5 haijatoa tamko lolote kuhusu ili joto linavyofukuta.Hivi mtu akisema serikali imafanya hili au lile hatutajua ni hii ya awamu ya tano. Basi kwa nini waseme kila wakati serikali ya awamu ya tano chini ya ... Na saa nyingine tunaweza kusema Mungu ametuwezesha kufanya .... Sifa zimwemdee Mungu zaidi mbona ni mtu tuu hadi tunasema kulikoni
WahedWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Kama nyinyi maccm mnaamini kuwa utawala wa awamu ya tano mnafanya mambo makubwa sana, ambayo kila mwananchi anayaona, ni kwanini basi mnaaogopa sana uchaguzi ulio huru na wa haki??Awamu ya 5 inafanya vizuri, nyie mnaopinga mna lenu jambo. Tumpe ushirirkiano wa kutosha ili nchi izidi kusonga mbele
Mbona Makondà hampingi Magufuli?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki