Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

Yeye anaongozwa kwa kufuata Katiba ya nchi.......

Hivi yeye tukimuona akiisigina waziwazi Katiba hiyo hiyo aliyoapa kuitii na kuiheshimu, anataka sisi wananchi tukae kimya??
Unajua kila jambo linahukumu na kunawakati unaweza kuhukumiwa na usifikirie kama unauhukumiwa (hapo imani inausika)............ndio maana nikasema ye aendlee tu.
 
Umefika wakati muafaka wote walio upinzani na najua ni wengi kuliko ma CCM, wagome kuwalipa kodi hasa zile za moja kwa moja hawa walevi wa madaraka wanaodhani Tanzania ni mali yao binafsi!!!
 
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli nyie wachache mnajiangaisha
Wewe utakuwa unampenda kimapenzi raisi wetu. Sisi tunao mpenda kizalendo tunataka kuona akiilinda na kuifuata katiba yetu pendwa ya Jamhuri ya Muungano
 
ninaamini huyu atakuwa mstaafu wa kwanza kukamatwa
Hakika huyu jamaa, kutokana na ulevi wake wa madaraka na "kujimwambafai" na kuamini kuwa yeye ndiye "anayelimiliki" Jeshi la Polisi na ana uwezo wa kuliamrisha na likafanya chochote, hakika hawezi kuepuka kuburuzwa mahakamani
 

alishasema kufanya siasa fanya jimbon kwako mbna watu upinzani wanafanya mikutano mingi tu kwenye majimbo yao: tatizo lipo wap, wewe iweje uchaguliwe chalinze alafu ukafanye mkutano mwanza wakati wananchi wako wa chalinze hujamaliza kuleta uliyoahidi
 
Tukubaliane na matokeo kwa maana tulikubali wenyewe fisiem irudi madarakani na huu ndio mshahara wetu. Tusijisahaulishe kwamba waliondoa lile neno la chagua fisiemu uchaguzi uliopita na matokeo yake tukamchagua chaguo la fisiemu kwa jina tofauti...
Tuvumilie tu na kuunga mkono juhudi maana saa yaja tutaziona rangi zote...
 
Hizi nchi zetu hizi zina tab sana: we ulishawahi ona wap viongozi nchi zilizoendelea zinafanya siasa kama sio kipindi cha uchaguzi: we angalia wakina arnold shwarzeneger , baada ya kuchaguliwa tu wapo ofisini wanachapa kazi, huezi wakuta wanaandaa kelele mitaani, hata hillary clinton mwenyewe huezi kuta anapoteza mda wake na mikutano ya siasa,


sasa hizi nchi zetu hazieleweki kwa kweli: hata kenya our close neighbours ni mara chache sana(nadra sana) utawakuta wanajihusisha na siasa za katikati kabla ya uchaguzi, ukismama pale town watu wapo speed hawana mda wanachapa kazi, njoo sasa bongo: yaani its shows you are of no help at all katika hii nchi,


Sio siri wabongo (baadhi) hawana msaada wowote katika hii dunia: binadam kama binadam tuna matatizo mengi ya kuongelea, magonjwa, ajira, financial success... hua napitia forums nyingine nyingi tu duniani naona watu wanavodiscus mada za kuwapeleka mbele kimaisha, QUORA, STAKE OVER FLOW, STAKE EXCHANGE.. na nyingine nyingi, watu wanajadili mambo ya kupeleka maisha mbele: niishie tu hpa maana sjui ni lini tutaamka na hizi akili zetu za siasa, kwakua hii nchi uhuru wa kuongea ulishakuepo mda sana lakini haujawahi saidia chochote,

kwakua nlisema baadhi ya wabongo basi wale wengine ambao wanatumia mda wao vizuri duniani heshima yenu:
 
Katumia
alishasema kufanya siasa fanya jimbon kwako mbna watu upinzani wanafanya mikutano mingi tu kwenye majimbo yao: tatizo lipo wap, wewe iweje uchaguliwe chalinze alafu ukafanye mkutano mwanza wakati wananchi wako wa chalinze hujamaliza kuleta uliyoahidi
sheria ipi kutoa hayo maigizo, Hakuna mbunge atatoka jimbo lake kwenda jimbo jingine bila ya kukaribishwa na mwenyeji wake ambaye atakuwa ni mbunge wa jimbo husika. Hapo shida ni nini sasa, ujanja ujanja wa kitoto ndo umemjaa huyo mzee wenu alafu anafikiri wote hawawezi kuchanganua mambo. Anachokifanya hakina tija kwa kipindi kijacho zaidi ya kuwagawa wananchi na kujenga chuki isiyo na umuhimu wowote. Hata huko majimboni mabunge wa upinzani wana wakati mgumu sana kufanya mikutano, mizengwe kibao.
 

jimboni kwa watu unatafuta nn wakati bado wananchi jimbon kwako wana matatizo, hio ni akili? we unaendaje kuongea na wananchi wa jimbo lingine wakati kwako ulioahidi yenyewe bado hujatimiza na kumbuka bado mengine unatakiwa kuyaskiliza mapya, sasa hio ni akili matope? nchi za wenzetu kampeni zikishaisha wote wanaingia ofisini, mpaka uchaguzi ujao: mikutano yoyote inatakiwa kupigwa marufuku


nlishatoa mfano wa kenya: yaaani ni nadra sana utawakuta wanafanya kelele kwa wananchi, ingawa mimi ni mtz lakini tumeachwa mbali sana, watu wako bussy na maisha 24hrs, nakumbuka kuna kipindi nlikua town nairobi nachat tu nkafuatwa kuulizwa we mbna mda wa kazi unachat mjini, wabongo bana
 
alishasema kufanya siasa fanya jimbon kwako mbna watu upinzani wanafanya mikutano mingi tu kwenye majimbo yao: tatizo lipo wap, wewe iweje uchaguliwe chalinze alafu ukafanye mkutano mwanza wakati wananchi wako wa chalinze hujamaliza kuleta uliyoahidi
Hivi unataka kuniambia Dkt Bashiru.na Polepole ni wabunge wa kuchagulliwa, majimbo gani hapa nchini??

Mbona wao wanafanya mikutano ya kisiasa nchi nzima na Jeshi la Polisi haliwabugudhi??

Ubaguzi mnaopandikiza nyinyi maccm, keenye siasa za nchi hii, hakika utakuja leta matokeo mabaya sana nchi hii
 
Labda Kenya huijui na ulienda kutembea tu, siasa ni kama Tanzania tu. Ungenijibu Raisi katumia sheria ipi kutoa hayo maamuzi ningekuelewa mkuu. Vinginevyo na hii pia ni siasa tu, kibaya upande wa pili siasa zaendela nchi nzima. Kama huoni kunatatizo basi tufunge mjadala kwani hatutafikia muafaka. Pia sio sahihi kulinganisha siasa zetu na za ulimwengu wa kwanza, huku kwetu siasa ni kila kitu na vyama vya siasa vinafanya hata kazi za elimu ya uraia ambayo serikali imeamua kwa makusudi kuwanyima wananchi. Unacheza mechi ya ndondi mpinzani wako kafungwa mikono unajidundia tu, ni kama ile mieleka Triple H anamfunga mpinzani wake kwa pingu na kujipigia anavyotaka. Hili halitaki ushabiki linahitaji kuukubali ukweli tu.
 

i spend most of my time there: what am telling you is real fact, i know the ins and outs for most citizens, and i know how hard working they are🙁as am typing here nipo in kenya) ni tafaut sana na uku, you cant even compare the economies , yaani tz inafika mpaka mahali doctor anapiga siasa, in the name of demokrasia:

na pia naomba ujue mm sijui vifungu vyote vya katiba wala sio mtu nnaekubaliana sana na matamko ya demokrasia yanaoendelea, unaweza niuliza ni kifungu gan kiukwel mm sitakua na jibu, mimi nipo against hii movement inaoendelea ya kudai freedom ya kufanya mikutano popote kwa sababu haina faida yoyote: watu wanapoteza tu mda kwenda kukaa kwenye jua kuskiliza maneno kwamba huo mda wote watakula hayo maneno ama?

so mm utafaut wangu upo tu apo, kuhusu vifungu vya katiba mm sio fun wa katiba, mm nkiona mtu anjituma tu anafanikiwa ndo nnachopenda hizi zingine sjui mikutano kwa kwel nipo against
 
Kwani watu wanafanya mikutano kila siku katika eneo lao, siku wasizofanya mikutano wajua huwa wanafanya nini? Mbona kila kukicha TBC iko hewani Live wanaoangalia hawana kazi? Awamu zilizopita mikutano ilikuwepo kwani watu walikuwa hawafanyi kazi? Huwezi kuzuia hata mikutano ya ndani ya vyama vingine na ya chama chako unafanyia mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nani kakwambia mtu ataacha kazi yake ya kipato akapoteze muda huko, hii ni dalili kuwa mazingira yenyewe ya kufanya kazi yenye tija yameshafutika. Huwezi vunja katiba kwa kisingizio cheap kiasi hichi ilihali chama chako wafanya mikutano kila kukicha. Kuna tatizo kama ukitaka kuliangalia kwa open mind otherwise tuombe tufike salama
 
 

vyama vya upinzani hua hawanaga utaratibu mzuri wa mikutano: yaani ghafla tu utaskia mkutano, kuna watu ambao kazi zao sio rasmi, unakuta mtu badala ya kwenda kibaruani anaenda kwenye kushangailia kitu hakina maana

we ulishawahi ona wap hillary clinton baada ya uchaguzi anaenda kufanya mikutano ya siasa? senator gan unamwona anahangaika na mikutano? ni uku tu, hii mikutano kabla magu hajaingia ilikua inafanyika kila kukicha mpaka inafika kipindi watu wanapoteza maisha? wananchi walipata faida gan?
 

Mkuu

Jamaa ni sikio la kufa,miaka yake inaisha ataona net resultant ya maamuzi yake ni zero output!

Muda uishe asepe!

Hopefully atakae ingia amkate pumbu hadharani !
 

Umeandika pumba tupu mkuu. Hujielewi umejaa husuda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…