Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester!
Sasa Mkapa jamani! Mkapa, vipi? Tupeni historia tujue nchi yetu! Hakuacha watoto? Kama wapo, wako wapi? Sio kazi rahisi kuwa mkuu wa nchi! Kama nchi, uzao wa viongozi lazima tuutambue!