Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Alikuwa naye yule wa kiume alifunga ndoa miaka ile. Sema kafanana na Anna Mkapa peke yake..Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester!
Sasa Mkapa jamani! Mkapa, vipi? Tupeni historia tujue nchi yetu! Hakuacha watoto? Kama wapo, wako wapi? Sio kazi rahisi kuwa mkuu wa nchi! Kama nchi, uzao wa viongozi lazima tuutambue!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Magufuli ni Baba Jesca
Acha ujinga, alikuwa na watoto wawili, mmoja anaitwa NicojAmaa alikuwa hanisi
Yes ni mtoto wake wa piliKwani huyu Nicholas Mkapa Deputy Permanent Secretary · Ministry of Information, Communication and Information Technology ni mtoto wa nani?
Kuna mmoja mtoto waKwani huyu Nicholas Mkapa Deputy Permanent Secretary · Ministry of Information, Communication and Information Technology ni mtoto wa nani?
Wanasema kitanda hakizai halamu,tuseme tu ni wakeKuna mmoja mtoto wa
Mramba....mmoja ndio wa Mkapa......period
Sio Mangufuli ni Hayati MagufuliKuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester!
Sasa Mkapa jamani! Mkapa, vipi? Tupeni historia tujue nchi yetu! Hakuacha watoto? Kama wapo, wako wapi? Sio kazi rahisi kuwa mkuu wa nchi! Kama nchi, uzao wa viongozi lazima tuutambue!
Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!

Mkuu,Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester!
Sasa Mkapa jamani! Mkapa, vipi? Tupeni historia tujue nchi yetu! Hakuacha watoto? Kama wapo, wako wapi? Sio kazi rahisi kuwa mkuu wa nchi! Kama nchi, uzao wa viongozi lazima tuutambue!
Anao wawili wa mramba, mmoja najua yupo beñki kuu.Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester!
Sasa Mkapa jamani! Mkapa, vipi? Tupeni historia tujue nchi yetu! Hakuacha watoto? Kama wapo, wako wapi? Sio kazi rahisi kuwa mkuu wa nchi! Kama nchi, uzao wa viongozi lazima tuutambue!
Ili iweje au inakuhusu nini wewe?Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!