Hivi Rais Samia ameunda Wizara 2 tu?

Hivi Rais Samia ameunda Wizara 2 tu?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.

Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.

Siyo dalili nzuri!
 
Wazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru..mawazir wengine wote wapo neutralized , hawajui hata nini kinaendelea hii nchi , Kwa sasa wapo busy kujipimia kulingana na urefu wa kamba zao
 
Wazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru
Namkubali kinyama bashe, nashauri apewe kabisa Uwaziri wa fedha.
 
Wazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru
I agree

But I wish nape atangaze mkakati wa dharura wa ngano, alizeti na mpunga ili kupambana na janga la Ukraine war
 
Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.

Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.

Siyo dalili nzuri!
Hata Marekani anayesikika sana ni Anthony Blinken ila wapo wanachapa kazi kimya kimya
 
acha fix, mbona juzi nimemsikia Waziri wa ardhi akiwa kanda ya ziwa akiupiga mwingi tu.

Afu kumbuka ile style ya mawaziri enzi zile ya sema usifie usikike haipo - sasa hivi ni kuupiga kimya kimya - mpira si matangazo mpira ni kuupiga ili kimya kimya balokote benyewe ku nyavu.
 
Hapo kwa mawaziri kusifia umeteleza
Kuna mchengerwa Kuna nape, kuna ummy kila baada ya sentensi ni tunamshukuru mama kwa hili, kwa lile
 
Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.

Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.

Siyo dalili nzuri!
Watu Kama Kijaji na dada Joy wangekaa tu nyumbani wawapikie waume zao na watoto.
 
Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.

Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.

Siyo dalili nzuri!
Mwigulu Nchemba alikuwa anafanya nini jana,je yeye si Waziri?
 
acha fix, mbona juzi nimemsikia Waziri wa ardhi akiwa kanda ya ziwa akiupiga mwingi tu.

Afu kumbuka ile style ya mawaziri enzi zile ya sema usifie usikike haipo - sasa hivi ni kuupiga kimya kimya - mpira si matangazo mpira ni kuupiga ili kimya kimya balokote benyewe ku nyavu.
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom