Namkubali kinyama bashe, nashauri apewe kabisa Uwaziri wa fedha.Wazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru
Kuna mageuzi makubwa saana Wizara ya kilimoBashe kafanya nini kipya kwenye kilimo??
Au kushona magwanda na kuitisha media??
Kama yepiKuna mageuzi makubwa saana Wizara ya kilimo
Zaid anafaa kuwa Wazir mkuuNamkubali kinyama bashe, nashauri apewe kabisa Uwaziri wa fedha.
Acha utani? Bashe huyu ambae amekiri Bei ya mbolea imeongezwa kiholela na wajanja wachache alafu Hana cha kuwafanya?Kuna mageuzi makubwa saana Wizara ya kilimo
I agreeWazir anayepiga kazi ni Bashe , huyo jamaa habahatishi anachokifanya , anapambana Sana , to be honest pia Nape anajitahdi , Makamba ni Wazir wa hovyo kuwahi kutokea tangu hii nchi ipate Uhuru
Hhahahha lile jamaa hapana aiseeMwigulu ndiye waziri mchapakazi
Taja geuzi moja tu tulijue
Hata Marekani anayesikika sana ni Anthony Blinken ila wapo wanachapa kazi kimya kimyaUkiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.
Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.
Siyo dalili nzuri!
Hapo kwa mawaziri kusifia umetelezaacha fix, mbona juzi nimemsikia Waziri wa ardhi akiwa kanda ya ziwa akiupiga mwingi tu.
Afu kumbuka ile style ya mawaziri enzi zile ya sema usifie usikike haipo - sasa hivi ni kuupiga kimya kimya - mpira si matangazo mpira ni kuupiga ili kimya kimya balokote benyewe ku nyavu.
Watu Kama Kijaji na dada Joy wangekaa tu nyumbani wawapikie waume zao na watoto.Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.
Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.
Siyo dalili nzuri!
Mwigulu Nchemba alikuwa anafanya nini jana,je yeye si Waziri?Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast.
Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi kimya kimya tu, Wizara ya Mambo ya ndani/ njema zote kimya.
Siyo dalili nzuri!
Huyu ni mwizi na ndiyo jipu katika mawaziri aliowateua mama.Mwigulu ndiye waziri mchapakazi
Asante mkuu.acha fix, mbona juzi nimemsikia Waziri wa ardhi akiwa kanda ya ziwa akiupiga mwingi tu.
Afu kumbuka ile style ya mawaziri enzi zile ya sema usifie usikike haipo - sasa hivi ni kuupiga kimya kimya - mpira si matangazo mpira ni kuupiga ili kimya kimya balokote benyewe ku nyavu.