GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukisikia Kuna BAHATI au ZALI ktk maishà ,bac labda ndio mama anaishi umo😀😀
 
Hajawahi hata siku Moja, safari yake imekua ya Viti maalumu tu
Lioneni hili kibwengo, we ndio umekuwa mbunge wa Makunduchi. We kenge Samia alikuwa mbunge wa viti maalum kwa awamu moja tu baada ya hapo alikuwa mbunge wa Makunduchi mpaka 2015 na hatimaye kuwa makamu wa Rais, ndio maana we nasemaga ni zwazwa flani tu, empty-headed, zero brain.
 
Kwa hiyo anataka Urais wa Viti maalum bila kushindanishwa na wenzake
 
Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
Hili swali anaweza kulijibu Kikwete maana ndo anajua huko pakoje,maana hakuna zaidi ya hicho,sifa ya kufika hapo alipo hana
 
Umezaliwa lini we bwege? Ndio maana huku mitandaoni kumejaa upuuzi mwingi shida ni aina ya watu km wewe. Hakuna mnachojua mpompo km nyumbu.
Siwezi kufwatilia siasa za Zanzibar sababu hazinisaidigi kitu
 
Kwa hiyo uchaguzi kapita mara moja mpaka umakamu wa Raisi,anabahati sana huyu bibi mdogo
 
Ndoto ya bi Mwenda ilikuwa ni kuwa mhudumu ndani ya ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…