GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alianza na viti maalumu then ndo akaingia katika wale wa wabunge wa majimbo.

The akawa famous ktk bunge la katiba na before hapo nafikiri amekuwa waziri au naibu waziri ktk ofisi ya Rais .

So she is very luckiest kwakuwa hatumii nguvu kubwa Ila fursa zinamwangukia tu.

Luck haiwez kuwepo kila siku, right place at right time na pia kuwa boot licker kwa watu sahihi.
 
Munateseka sana, ila ukweli ni kuwa Samia yupo mpaka 2030 akijaaliwa kuwa hai.
 
Alianza na viti maalumu then ndo akaingia katika wale wa wabunge wa majimbo.

The akawa famous ktk bunge la katiba na before hapo nafikiri amekuwa waziri au naibu waziri ktk ofisi ya Rais .

So she is very luckiest kwakuwa hatumii nguvu kubwa Ila fursa zinamwangukia tu.
Kutoka Zanzibar ambako wanawake ni watu wa kulea watoto nyumbani nako kumemsaidia. Hakupata ushindani na akawa anabebwa kwa upepo za u-wanawake na u-zanzibar. Viongozi wengi wanaotoka Zanzibar hawapitii kwenye michujo mikali ndiyo maana wengi tunataka muungano ubadilishwe.
 
Achana na mhe. samia CCM toka 2010 wanapita kwa mbeleko magoli ya mkono kama walivyosema+ offside
 
Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
Toka 2002 ni member wa system enzi hizo wewe unanuka kinyesi.

Sio tuu kwamba alishindwa Ubunge lakini amewahi Kushindwa pia.

Majitu majinga kama wewe inatoa kinyaa maana CV yake ipo Kila mahala na mahojiano Juu.
 
Alianza na viti maalumu then ndo akaingia katika wale wa wabunge wa majimbo.

The akawa famous ktk bunge la katiba na before hapo nafikiri amekuwa waziri au naibu waziri ktk ofisi ya Rais .

So she is very luckiest kwakuwa hatumii nguvu kubwa Ila fursa zinamwangukia tu.
Unavyoeleza kana kwamba unajua vile
 
Asiye na bahati habahatiki. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Mwalimu alikaa Ikulu miaka ishirini na tatu kama sijakosea
 
Itakuwa anateleza tu ganda la ndizi, ila kama huko kote atakuwa amepita kwa style hiyo, inabidi tuchimbe alikuwa ana ofa nini kwa wanaomchagua? Maana sio mchezo
 
Back
Top Bottom