GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Luck haiwez kuwepo kila siku, right place at right time na pia kuwa boot licker kwa watu sahihi.
 
Munateseka sana, ila ukweli ni kuwa Samia yupo mpaka 2030 akijaaliwa kuwa hai.
 
Kutoka Zanzibar ambako wanawake ni watu wa kulea watoto nyumbani nako kumemsaidia. Hakupata ushindani na akawa anabebwa kwa upepo za u-wanawake na u-zanzibar. Viongozi wengi wanaotoka Zanzibar hawapitii kwenye michujo mikali ndiyo maana wengi tunataka muungano ubadilishwe.
 
Achana na mhe. samia CCM toka 2010 wanapita kwa mbeleko magoli ya mkono kama walivyosema+ offside
 
Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
Toka 2002 ni member wa system enzi hizo wewe unanuka kinyesi.

Sio tuu kwamba alishindwa Ubunge lakini amewahi Kushindwa pia.

Majitu majinga kama wewe inatoa kinyaa maana CV yake ipo Kila mahala na mahojiano Juu.
 
Unavyoeleza kana kwamba unajua vile
 
Asiye na bahati habahatiki. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Mwalimu alikaa Ikulu miaka ishirini na tatu kama sijakosea
 
Itakuwa anateleza tu ganda la ndizi, ila kama huko kote atakuwa amepita kwa style hiyo, inabidi tuchimbe alikuwa ana ofa nini kwa wanaomchagua? Maana sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…