Hivi Rais Samia hakupata mwaliko wa kuhudhuria kusimikwa kwa mfalme Charles iii?

Hivi Rais Samia hakupata mwaliko wa kuhudhuria kusimikwa kwa mfalme Charles iii?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe.

Je, hakupata mwaliko au tatizo nini?
 
Dereva wao Mnangagwa aligoma sasa wakaona wataendeshwa na nani wakipakizwa kwenye lile basi.

Halaf na wananch na sie tuliwananga sana kipindi kile cha msiba nadhan safar hii watakua wamejishtukia hata kama wangealikwa
 
Ningeshangaa sana kama angekwenda kwani kulikuwa na mkutano muhimu sana kule Bujumbura!
Lakini pia kuna suala la uchaguzi wa katibu mkuu wa commonwealth ambako uwepo wake London ungemsaidia candidate wale mama Mulamula!
Hata hivyo kwenye procession niliiona bendera ya Tanzania, bila shaka tuliwakilishwa.
 
Jana alikuwa akiongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma

20230507_082839.jpg
 
Na kama kawaida yake New Vasco Da Gama asingelaza damu, chapu yuko London. Mama anapenda safari huyo.
 
Nadhani kuna kiongozi alimuwakilisha, bendera yetu ilikuepo.
 
Bora angeenda tu maana hata akibakia bado ugumu wa maisha uko pale pale.

Tumlipie nauli azunguke Dunia mpaka 2025 arudi kutuomba kura.
 
Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe.
Je hakupata mwaliko au tatizo nini?
Toka wapandishwe coaster harudii tena huo ujinga, imagine mazishi walitendwa hivyo,je sherehe?,aibu sana
 
Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe.
Je hakupata mwaliko au tatizo nini?
Labda mambo ya kupandishwa kwenye Basi yanaleta kichefuchefu 😅🙏🙏 !
 
Back
Top Bottom