Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tuiogopeni technology hakika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuu.tuiogope Sana teknolojia
Acha tu ndugu yangu.Unajua sina cha kuongea..........maana daaaa
Hahaha hahaha...Hayupo humu tumtag?
KabisaEndapo unapata dhamana ya cheo cha kikatiba cha mkuu wa taasisi nyeti ya urais basi msimamo na kauli zako siku zote huegemea katika maslahi mapana ya taifa.
Muacheni mama achape kazi. Mama chapa kazi bila uoga tulio wengi tuko nyuma Yako .
Muacheni mama achape kazi. Mama chapa kazi bila uoga tulio wengi tuko nyuma Yako .
Unaonaje na Kodi kubwa na tozo kubwa ziende uko kwenye 27000 itapendeza.....wewe unachangia Tu au Una kunya kunya maneno hapa uonekane Una bando....?? Mkubavu niniMh Rais wetu yupo wazi na Ameeleweka vizuri tu labda Kama wewe ndio hujamuelewa, kasema wazi kuwa maeneo mengine Tena mengi tu hasa vijijini wananchi wataendelea kupata huduma ya kuunganishiwa umeme kwa sh elfu 27 Kama zamani, lazima ujuwe Kuna baadhi ya vitu vya kiufundi na kitaalamu vinaongezeka na kubadilika hivyo gharama haiwezi kubaki Kama zamani kwa maeneo yote
Mambo yote yatakuwa sawa tu chini ya uongozi wa mh Rais wetuUnaonaje na Kodi kubwa na tozo kubwa ziende uko kwenye 27000 itapendeza.....wewe unachangia Tu au Una kunya kunya maneno hapa uonekane Una bando....?? Mkubavu nini
Kauli za awali za kitapeli ziliegemea maslahi ya nani?Endapo unapata dhamana ya cheo cha kikatiba cha mkuu wa taasisi nyeti ya urais basi msimamo na kauli zako siku zote huegemea katika maslahi mapana ya taifa.
Hapa hakuna kulazimisha kujikomba ......ukikosea kuomba radhi iwe Kama ibada na sio kushupaza shingo........haya maisha Tu one day utasimama mwenyewe kwenye madhabahu ya muumba utajibu nini weweMambo yote yatakuwa sawa tu chini ya uongozi wa mh Rais wetu