nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Sio propaganda bali ni kutoa taarifa kwa watu wao wa kazi pia kutokana na mapungufu ya radio zenu zinazoishia Chalinze
Lakini mkuu ukiwa kwao hatuoni hizo taarifa,mara nyingi vyombo vyao vya habari hutangaza yanayowahusu tuSio propaganda bali ni kutoa taarifa kwa watu wao wa kazi pia kutokana na mapungufu ya radio zenu zinazoishia Chalinze
Hiv Iran au Korea ile ya "Subwoofer" utaipamba kwa lipi?Kwenye idhaa hizo huwezi kusikia wanaitaja kwa wema Iran, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyinginezo hasimu.
Maana yake lengo ni kuzipamba nchi zao na kutengeneza mentality ya negativity kwa mahasimu wao.
Na hii imefanikiwa sana kuipa Afrika mentality ya kumuona mzungu ndio kila kitu
Hili ni suala muhimu. Natamani itokee redio toka Afrika ifungue vituo US na EU halafu iwe inatangaza mabaya ya huko na mazuri ya Afrika na hata waarabu halafu niskie kama haitafungiwa ....refer to Al Jazeera ilivyofungiwa US .Wadau naomba kuuliza hivi redio za Kimataifa kama vile BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini kwakurusha matangazo hasa kwa hizi nchi za Maziwa makuu, (Kiswahili) kwani hazirushi matangazo ya biashara kama zilivyo redio zetu. Mfano BBC imefungua Studio kubwa naya kisasa nchini Kenya,
Vyombo hutumika kufanyia uchunguzi mbalimbali wa kiuasalama kwy nchi zinazoendelea hasa za afrika, waandishi wengi wa habari wa afrika hutumika sana kutoa habari za kiuchunguzi pasipo kujua kuwa wanatoa habari za nchi zao kwa manufaa ya wazungu. Wazungu huwalipa kiasi furani cha pesa na trip za kwenda ulaya. watangazaji wengi kwy hizo radio ni vibaraka. Mzungu huwa hafanyi kazi isiyo na faidaWadau naomba kuuliza hivi redio za Kimataifa kama vile BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini kwakurusha matangazo hasa kwa hizi nchi za Maziwa makuu, (Kiswahili) kwani hazirushi matangazo ya biashara kama zilivyo redio zetu. Mfano BBC imefungua Studio kubwa naya kisasa nchini Kenya,
Mabeberu, mabeberu, mabeberu!!!! This is too much.... Kazi kulalamika tuu kwa nini msiyachinje na kuyafanya kitoweo??Kusambaza propaganda za mabeberu na Madudu ya waafrika
Mbona sisi tuna TBC?? Kwa nini tusishindane nao?Kwenye idhaa hizo huwezi kusikia wanaitaja kwa wema Iran, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyinginezo hasimu.
Maana yake lengo ni kuzipamba nchi zao na kutengeneza mentality ya negativity kwa mahasimu wao.
Na hii imefanikiwa sana kuipa Afrika mentality ya kumuona mzungu ndio kila kitu
HataNi jambo la kushangaza sana, mataifa yote makubwa yanatoa ruzuku kwa vyombo vyao vya habari kwa jambo hilo.
German- DW, france-RFA, JAPANI-idhaa ya kiswahili ya japani, China-GCTN, USA-VOA, uingereza-BBC etc
Sent using Jamii Forums mobile app