haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,638
Propaganda tools za mabeberu[/QUOTni kama radio uhuru kwa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Propaganda tools za mabeberu[/QUOTni kama radio uhuru kwa ccm
Itakosa wasikilizaji kama TBC jaribuni muoneHili ni suala muhimu. Natamani itokee redio toka Afrika ifungue vituo US na EU halafu iwe inatangaza mabaya ya huko na mazuri ya Afrika na hata waarabu halafu niskie kama haitafungiwa ....refer to Al Jazeera ilivyofungiwa US .
HahaaSio propaganda bali ni kutoa taarifa kwa watu wao wa kazi pia kutokana na mapungufu ya radio zenu zinazoishia Chalinze
Hecko mkuuKwenye idhaa hizo huwezi kusikia wanaitaja kwa wema Iran, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyinginezo hasimu.
Maana yake lengo ni kuzipamba nchi zao na kutengeneza mentality ya negativity kwa mahasimu wao.
Na hii imefanikiwa sana kuipa Afrika mentality ya kumuona mzungu ndio kila kitu
Kwanini uende mbali Al Jazeera is a living proof US na UK wanabana vyombo vya habari vinavyaongelea mabaya yao kwa mwavuli wa uzalendo nashangaa viongozi wa Afrika wasitumie sababu hizo hizo labda hawajui.Itako
Itakosa wasikilizaji kama TBC jaribuni muone
Nashauri pia usome jinsi Al Jazeera ilivyowekewa vikwazo na US na UK wasitangaze habari wasizozipenda kwenye nchi zao naamini itakusaidia kuimarisha thread yako na kufungua macho watu wanaoamini hivi vyombo vipo hapa kuimarisha Uhuru was habari.Wadau naomba kuuliza hivi redio za Kimataifa kama vile BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini kwakurusha matangazo hasa kwa hizi nchi za Maziwa makuu, (Kiswahili) kwani hazirushi matangazo ya biashara kama zilivyo redio zetu. Mfano BBC imefungua Studio kubwa naya kisasa nchini Kenya,
Vyombo vya propaganda vya serikali za Nchi zao mkuu. Serikali zinagharamia. Hizo ndizo moja ya killing machines kwa nchi za dunia ya tatu.Wadau naomba kuuliza hivi redio za Kimataifa kama vile BBC, DW, VOA na RFI zinanufaika na nini kwakurusha matangazo hasa kwa hizi nchi za Maziwa makuu, (Kiswahili) kwani hazirushi matangazo ya biashara kama zilivyo redio zetu. Mfano BBC imefungua Studio kubwa naya kisasa nchini Kenya,
Sio propaganda bali ni kutoa taarifa kwa watu wao wa kazi pia kutokana na mapungufu ya radio zenu zinazoishia Chalinze
Ndy maana ikiwa ya kiswahili inatangaza yenu tu.Lakini mkuu ukiwa kwao hatuoni hizo taarifa,mara nyingi vyombo vyao vya habari hutangaza yanayowahusu tu
Wewe unasema nini kuendesha mambo yenu mpk wawape pesa wenyewe, uchumi wenu na mambo mnayotaka myafanye hayafanani.Kwenye idhaa hizo huwezi kusikia wanaitaja kwa wema Iran, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyinginezo hasimu.
Maana yake lengo ni kuzipamba nchi zao na kutengeneza mentality ya negativity kwa mahasimu wao.
Na hii imefanikiwa sana kuipa Afrika mentality ya kumuona mzungu ndio kila kitu
Ninjia moja ya kusambaza utamaduni wao. Germany tunalipia kodi ya redio na TV kila binadamu anayeishi hukuNi jambo la kushangaza sana, mataifa yote makubwa yanatoa ruzuku kwa vyombo vyao vya habari kwa jambo hilo.
German- DW, france-RFA, JAPANI-idhaa ya kiswahili ya japani, China-GCTN, USA-VOA, uingereza-BBC etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inanifanya nifikirie kuwa Lissu ni Tishio sio kwa hofu hiiNdio utakuta watu kama Lisu wamekenua meno huko ndio kazi ya hivyo vyombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni suala muhimu. Natamani itokee redio toka Afrika ifungue vituo US na EU halafu iwe inatangaza mabaya ya huko na mazuri ya Afrika na hata waarabu halafu niskie kama haitafungiwa ....refer to Al Jazeera ilivyofungiwa US .
Lakini mkuu ukiwa kwao hatuoni hizo taarifa,mara nyingi vyombo vyao vya habari hutangaza yanayowahusu tu