Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Tajiri wa kichaga tofauti sana na wengine,huyu anajali watu hata wasio wa kwao lakini yule tajir mwenye meli za kwenda Zanzibar mbaguz sana
 
Daah aisee ni kweli kuna msemo unasema bora ukosee kujenga kuliko kuoa au kuolewa
haswaaa ila Mungu mwema naamini utampata wa chaguo lako

keep on praying and trusting God
 
MSAGA SUMU said:
Haya maisha bhana,unaweza kuta na yeye huko alipo anajiuliza mbona @okoyoko kila siku ni masikini? Yaani tokea mwaka 1992 jamaa hatoi msaada wala nini lakini kila siku yeye huwa analia njaa tu ?
Nimeshindwa kujizuia na kuangua kicheko baada ya kusoma comment hii...

Comment bora kwangu kwa leo
Kweli kabisa, hii ni comment bora kabisa...
 
Back
Top Bottom