Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahan Mkuuu
Kwahyo Ndo Kusema Kwmba Ungepata Nafasi Ya Kumshauri Billionea Mengi Chochote Kitu Ungemshauri Asitishe Misaada Anayoitoa Ili Alinde Heshima Yake Ili Asijefilisika????
Ukitoa naww unazidishiwa maradufu.Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Hello guys,

Nipo miss umenitupa sana, hata kilingeni huonekani
There is being rich and being WEALTHY.....Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
kilingeni kumenishinda mkuu, naona majukumu ya ndoa yamenizidiaUmenifurahisha
Nipo miss umenitupa sana, hata kilingeni huonekani
Hmm! Kweli nyumbani kumenoga sasa kilingeni kumekua doro sana, vip lakini ulikua fungatekilingeni kumenishinda mkuu, naona majukumu ya ndoa yamenizidia
teh teh
nimefurahi uko poa
nani kakudokeza? nilihisi siri yangu kumbe na wewe umeyajua hayo? au ume gesi tu?Hmm! Kweli nyumbani kumenoga sasa kilingeni kumekua doro sana, vip lakini ulikua fungate
Hamna aliye nidokeza ila mimi ni mtu ambaye naweza hua nina utambuzi flani hivinani kakudokeza? nilihisi siri yangu kumbe na wewe umeyajua hayo? au ume gesi tu?
teh teh ndiyo my dear na ile hali ya kiubaridi mambo yalienda barabara kabisa
Sijawahi ona mtu mwenye akili kiazi kama wewe. Ficha ujinga wakoHello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Acha kabisa hadi mashavu yamekuwa manono, kumbe sio msosi tu una vitamin bhana...nimeligundua hili hivi karibuniHamna aliye nidokeza ila mimi ni mtu ambaye naweza hua nina utambuzi flani hivi
Aisee hongera kama nakuona[emoji41]
Hahahaha! Mbona unanipa munkari Wa kuoa mapema akii, sio kwa kwa kupamba hukoAcha kabisa hadi mashavu yamekuwa manono, kumbe sio msosi tu una vitamin bhana...nimeligundua hili hivi karibuni
Ukitoa naww unazidishiwa maradufu.
na uwowe tu hakuna namna, omba Mungu umpate aliye sahihiHahahaha! Mbona unanipa munkari Wa kuoa mapema akii, sio kwa kwa kupamba huko