Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Mengi Ni Tajiri Mkubwa Sana Ni Kama kutegemea kuna Siku Tembo anaweza kukonda Na Kuwa Kama Swala
 
Ushajiuliza toka baba ako akusomeshe na kukulisha ww na familia yenu alisha wahi firisika
 
Samahan Mkuuu
Kwahyo Ndo Kusema Kwmba Ungepata Nafasi Ya Kumshauri Billionea Mengi Chochote Kitu Ungemshauri Asitishe Misaada Anayoitoa Ili Alinde Heshima Yake Ili Asijefilisika????

Haha yeah, something like that, binadamu sio wema mkuu, ukifilisika watasahau kuwa ulikuwa unasaidia watu, wengi wataanza kukukimbia, kukusema vibaya na kukukejeli. Masanjehalima
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Ukitoa naww unazidishiwa maradufu.
 
ndio maana anabarikiwa sababu ya kutoa
 
Ana walinda wasio nacho ndomana kaka, Mungu ana penda tupendane wakuu
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
There is being rich and being WEALTHY.....
 
Hmm! Kweli nyumbani kumenoga sasa kilingeni kumekua doro sana, vip lakini ulikua fungate
nani kakudokeza? nilihisi siri yangu kumbe na wewe umeyajua hayo? au ume gesi tu?

teh teh ndiyo my dear na ile hali ya kiubaridi mambo yalienda barabara kabisa
 
Hamna aliye nidokeza ila mimi ni mtu ambaye naweza hua nina utambuzi flani hivi

Aisee hongera kama nakuona[emoji41]
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Sijawahi ona mtu mwenye akili kiazi kama wewe. Ficha ujinga wako
.
 
Hamna aliye nidokeza ila mimi ni mtu ambaye naweza hua nina utambuzi flani hivi

Aisee hongera kama nakuona[emoji41]
Acha kabisa hadi mashavu yamekuwa manono, kumbe sio msosi tu una vitamin bhana...nimeligundua hili hivi karibuni
 
Hahahaha! Mbona unanipa munkari Wa kuoa mapema akii, sio kwa kwa kupamba huko
 
Back
Top Bottom