Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Mtu hutoa sehemu ya faida mkuu. Sidhani kama anaweza weka rehani mtaji.
Ni mtazamo wangu tu.
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
ilo swali kamuulize k lynn mkewe anaetembea na mkoba wa 60m
 
Sikuwahi kumuomba wala kumweleza huyu boss shida zangu, ila siku nilimuhudumia tu kwenye sikukuu ya noel moja,alinipiga misimbazi ya kutosha tena kimya kimya nikapata ada ya mwanangu na hela yote ya kufungia mwaka na kuamkia.
Ile pesa hata madam rita hakuona.
 
Mmmh reginald mengi alikupa sh ngapi?, ilikuwa ni tip au babukijana
 
Kwa vijana wenzangu wa zamani kdg ( miaka ya 90),nadhani wanakumbuka Mzee Mengi alivyotutaka kuanzisha vikundi vya watu watano watano na kuanzisha mradi yy atatoa mikopo ... Nadhani wengi kuna walio nufaika

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Unamaanisha SKUVI au. mtu chake
 
Mmmh reginald mengi alikupa sh ngapi?, ilikuwa ni tip au babukijana
TIP TU ,ILA KIHESHIMA ALINIWEKEA NDANI YA KITAMBAA BADALA YA KUACHA KWENYE KILE kipochi cha kulipia,nilipigwa misimbazi mingi sana sema imekunjwakunjwa,na mimi kumshukuru nikawahi mlangoni angalau nifungue mlango kkwake tu,pale mlangoni nikadondoshewa misimbazi ingine bulungutu.
nikawa njema sana kumaliza mwaka ule na kuanza upya.
na kiukweli wakati kateremsha mzigo chini ya meza kanishtua kuna kazawadi kadogo hapo chini ya meza wanao nao wapate sikukuu.
fikiria siku hiyo km umemhudumia mr Mwambipi ama mkude,ungepewa msimbazi 1 na BONUS MANENO KIBAO
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Kumbuka mkono utoao ndio mkono upokeao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jizi tu la hisa kama wengine kupitia kampuni yake ya NICOL
 
Back
Top Bottom