Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Mwanzisha thread nadhani amezaliwa kwenye ufukara wa akili na mali na bado operate kwenye ufukara wa akili na mali. (no offense). Hana clue kabisa na maisha mengine...
Umenote vizuri mkuu. Ukishakuwa na mind ya kimaskini hata vitu unavyowaza utakuwa unawaza kushindwa tu muda wote. Ndio mind ya mchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Marais wastaafu wana hela lakini kwa sababu hawana moyo wa kutoa hutasikia wamesaidia mtu hata siku moja.
 
Hivi hujawahi kusoma habari za USD millionaires na USD billionaires wanavofilisika sababu ya upepo mbaya wa kiuchumi, matumizi makubwa etc Detective J
Nasoma sana majarida ya forbes, bussiness insider. Yes nafahamu hayo. Najua mhe.Reg Mengi anayafahamu hayooo.. ndio maana kajizatiti.
Sasa ishu ni ambae unaogopa mengi kufilisika wkt... why ufikirie negative outcomes tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh unavosema masharti unamaanisha nn, masharti aliyopewa na waganga au mangatara

Masharti aliyopewa na aliyempa hizo pesa akae nazo kwa muda. Si wajua kuna kufa na ukifa huchukui hata senti moja?? Hivyo, aliyempa akae nazo siku zake za kuishi hapa alimwambia awape masikini.
 
atapata aibu gani akifilisika..? we muomba misaada kwake ndo utaaibika mana utakosa sehem pa kula
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
NICOL NICOL NICOL.
 
Masharti aliyopewa na aliyempa hizo pesa akae nazo kwa muda. Si wajua kuna kufa na ukifa huchukui hata senti moja?? Hivyo, aliyempa akae nazo siku zake za kuishi hapa alimwambia awape masikini.
Natamani ningekuwa mjinga kama wewe..
 
Haya maisha bhana,unaweza kuta na yeye huko alipo anajiuliza mbona okoyoko kila siku ni masikini? Yaani tokea mwaka 1992 jamaa hatoi msaada wala nini lakini kila siku yeye huwa analia njaa tu ?
😀😀😀😀😀
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Mkono utoao..............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom