Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

Haya maisha bhana,unaweza kuta na yeye huko alipo anajiuliza mbona okoyoko kila siku ni masikini? Yaani tokea mwaka 1992 jamaa hatoi msaada wala nini lakini kila siku yeye huwa analia njaa tu ?
Comment bora kwangu kwa leo
 
Upo na mtoto mzuri kama Jack utaishiwaje pesa sasa, unaamka asubuhi anakupa mämbo, kisha unajiandaa kuondoka anakuaga kwa kisses &hug wee mood ya kusaka pesa inaendelea kuwepo tu

Dķ Mengi namkubali sana
 
Sana huyu mzee anatoaga sana misaada kwamfano hapa kilimanjaro makanisa na mashule vimefaidi sana pesa zake kwa mfano kijijini kwetu kulikua na Harambe ya ujenzi wa kanisa jipya na yeye alialikwa kama mgeni rasmi unaambiwa alitoa mzigo mzito balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo na mtoto mzuri kama Jack utaishiwaje pesa sasa, unaamka asubuhi anakupa mämbo, kisha unajiandaa kuondoka anauaga kwa kisses &hug wee mood ya kusaka pesa inaendelea kuwepo tu

Dķ Mengi namkubali sana
Mi mwenyewe namkubali saana mkuu. Hivi mtu wa kawaida anaweza kuonana naye? Kwa maana ya kuomba appointment
 
Mi mwenyewe namkubali saana mkuu. Hivi mtu wa kawaida anaweza kuonana naye? Kwa maana ya kuomba appointment
Sijajua utaratibu mkuu ila ukienda ofisìni kwake utapèwa tu utaratibu. Hoping utafanikiwa mkuu
 
wanasema kuna nguvu katk kutoa. Unadhani hao wanaopokea misaada wanamuombea mabaya? lini sasa atafilisika ikiwa nyuma yake kuna watu tangu mwaka 1992 wanamuombea mema?
 
Hello guys,

Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?

Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.

Kuna Siku yoyote ile labda alishawahi Kukugongea Mlango wako hapo Kwako ukiwa na Mkeo pamoja na Wanafamilia wako kisha akakulilia shida kuwa amekosa hela ya Kununua Unga, Mchicha na Maharage ili aweze Kula? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
 
Kila mwaka hutoa misaada kwa wa wasiojiweza..
Hiyo ndo sababu kwa nini haishiwi fedha!
 
Back
Top Bottom