RUSSESABAGINA
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 167
- 239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wolper na uwoya ni wachaga mkuuWrite your reply...wachaga wana akili mingi
Mi mwenyewe namkubali saana mkuu. Hivi mtu wa kawaida anaweza kuonana naye? Kwa maana ya kuomba appointmentUpo na mtoto mzuri kama Jack utaishiwaje pesa sasa, unaamka asubuhi anakupa mämbo, kisha unajiandaa kuondoka anauaga kwa kisses &hug wee mood ya kusaka pesa inaendelea kuwepo tu
Dķ Mengi namkubali sana
Sijajua utaratibu mkuu ila ukienda ofisìni kwake utapèwa tu utaratibu. Hoping utafanikiwa mkuuMi mwenyewe namkubali saana mkuu. Hivi mtu wa kawaida anaweza kuonana naye? Kwa maana ya kuomba appointment
Poapoa mkuu, ofisini kwake ndo pale pale ITV?Sijajua utaratibu mkuu ila ukienda ofisìni kwake utapèwa tu utaratibu. Hoping utafanikiwa mkuu
Ukifika pale ITV utaelekezwa office yake ilipo mkuuPoapoa mkuu, ofisini kwake ndo pale pale ITV?
Shukrani Sana mkuu...Ukifika pale ITV utaelekezwa office yake ilipo mkuu
Mwanzisha thread nadhani amezaliwa kwenye ufukara wa akili na mali na bado ana-operate kwenye ufukara wa akili na mali. (no offense). Hana clue kabisa na maisha mengine...Umaskini ni mentality mbaya sana. Anajua anachofanya na amejipanga ndio maana unaona haishiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Siyo misaada ni kafara zile inakuwaje wafanyakazi wako wanaokutafutia pesa unawalipa kiimo cha mbuzi halafu unaenda gawa kwa wengine si uwape hata bonus watumishi wako!!
Sent using Jamii Forums mobile app