Kwani walikuwa wanalipwa kidogo?
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?
Unavyojua wewe nini Maana ya kipaji?Pacha wangu!! Wimbo naoupenda zaidi toka kwa mavoko ila beat kama jamaa alizingua hv kwenye bass upande wa chorus. Ila jamaa pamoja na Mo Music wana vipaji ila nyota hawana. Diamond qna nyota ila kipaji hana ndio maana anaimba matusi tupu na nyota inqmbeba.
Nb: Team Wcb sijamponda rais wao lakini. Ana nyimbo alizoimba na nikazipenda. Ana producer anayejua kutia naksh kidogo wimbo uonekane mzuri.
Kwa maa na unajua sana mavoko yuko wapi?Hilo ghorofa kajenga kwa saport ya mzungu. Acha kulisha watu matango.
Konde boy tumepiga sana gym kwake alipokuwa anaishi pale Mtongani kwenye kijumba cha diamond..
Kwa hiyo usitake kudanganya watu mkuu..
Mkuu sipo hapa kulumbana. Nimetoa maoni yangu kama wachangiaji wengine. Kama nimekukwaza, nisamehe na maisha yaendelee.Unavyojua wewe nini Maana ya kipaji?
Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa townInnocent enzi za ukiwa na gari ndio una hela sishapitwa na wakati
Kuwa na gari sio alama ya kuwa una mkwanja!!
Mark x???
Hilo ghorofa kajenga kwa saport ya mzungu. Acha kulisha watu matango.
Konde boy tumepiga sana gym kwake alipokuwa anaishi pale Mtongani kwenye kijumba cha diamond..
Kwa hiyo usitake kudanganya watu mkuu..
Meaning Management yake ni nzuri anajua anachokifanya while Kiba yeye siku hizi muziki haujulii kama zamani ukiona likes kapata kwa sababu ya zamani alikuwa ni more fire .Pacha wangu!! Wimbo naoupenda zaidi toka kwa mavoko ila beat kama jamaa alizingua hv kwenye bass upande wa chorus. Ila jamaa pamoja na Mo Music wana vipaji ila nyota hawana. Diamond qna nyota ila kipaji hana ndio maana anaimba matusi tupu na nyota inqmbeba.
Nb: Team Wcb sijamponda rais wao lakini. Ana nyimbo alizoimba na nikazipenda. Ana producer anayejua kutia naksh kidogo wimbo uonekane mzuri.
Usiwe unaongea kitu ambacho ujui next timeMkuu sipo hapa kulumbana. Nimetoa maoni yangu kama wachangiaji wengine. Kama nimekukwaza, nisamehe na maisha yaendelee.
Kujenga ghorofa baada ya kuwa na nyumba mbili π π π π ,Tofauti ya nyumba na ghorofa ni ipi?Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili
UNAIJUA PROCESS NZIMA YA MSANII WA WCB HADI ANA SIGN MKATABA?? π€Dogo hilo halina ubishi
Maslahi na dharau vilimwondoa rich, harmonize
Sidhani kama ina ligi sana hii
Hata kama unampenda diamond
Kama una hasira njoo tupigane. Tatizo huwa unadhani huyo diamond atakutafuta kwa kuwa shabiki wake. Hujiulizi kwnn umenikasirikia kisa nimemtaja diamond hapo. Akitajwa alikiba ama babu seya sawa tu (huitwa mtoa maoni) akitajwa huyo diamond unahisi ni haters ndio wanamkosesha.Usiwe unaongea kitu ambacho ujui next time
Ukitaka kujua tofauti kamuulize mtu ambaye ana nyumba ya Kawaida na mwingine ana nyumba ya ghorofa.Kujenga ghorofa baada ya kuwa na nyumba mbili π π π π ,Tofauti ya nyumba na ghorofa ni ipi?
Kwani ghorofa sio nyumba?Ukitaka kujua tofauti kamuulize mtu ambaye ana nyumba ya Kawaida na mwingine ana nyumba ya ghorofa.
Kwanza muulize lini amewahi kumsikia rich mavoko amesema kaondoka wasafi kwasababu ya malipo madogo akikujibu nitagUNAIJUA PROCESS NZIMA YA MSANII WA WCB HADI ANA SIGN MKATABA?? π€
JE ULIISHAWAHI KUONA HATA SAMPLE YA MKATABA WA WCB NA WASANII WAO?? π€
NO PROVED DATA NO RIGHT TO SAY
Kipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.Unavyojua wewe nini Maana ya kipaji?
We utakuwa sio kijana umri umeenda kidogo nahisi kwasisi vijana tunaelewana.Kwani ghorofa sio nyumba?
Unamuuliza nani sasa..
Ukijua alipo unataka ukampe nini..
Kwa maa na unajua sana mavoko yuko wapi?