Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni Jemedari

Sema Rita naye alikuwa na mambo mengi, kaachana na mumewe kisa Ben na wakawa wanatoana ngeu na Kiana.

Baadaye Rita akaona isiwe tabu, akajitafuta Mwarabu wake wa kududuana.

Sema Ujana maji ya moto, sasa Rita karudiana na mumewe wanakula mafao yao.

Walishasameheana maisha yanaendelea. Majemedari wetu wanapenda dogodogo!

Ben na Rita walidumu kipindi kirefu. Je, baada ya kifo cha Ben, Rita hajapewa chochote kama kifuta jasho kwa kumtunza?

Ila jamani Rita alikuwa Pisi kali, acha hapa kazeeka.

Ila Rita naye, alipokuwa MSEMAJI wa watu wa Kawe, akampata THE GREAT. Ukaibuka ugomvi mpya kati ya Rita na Chimama
 
Watoto wa 1990's hawamjui Rita Mlaki !
Rita mama wa Kichagga na Mbunge wa Kawe 2005-10 mkorofi.
2010 alipigwa chini kura za Maoni n akajiondoa UWT akilalamikia Ukabila.

Kada wa CCM na Tajiri fulani wa Dar es salaam.
Mamaa mwenye majumba/appartments na biashara Nyingi.
Alizaa na aliyetajwa na pia ni mtu mtulivu ukiongea naye.

Hajapewa kitu kwenye miradhi ya MAMA Ben kwakuwa ile hakuwa na ndoa bali ni concubine na INDIAN SUCCESSION ACT , 1865, haitambui masuria[vimada] kama warithi. Unaweza ukarejea kesi ya VIKI KAMATA In the matter of the Estate of the Late Dr. Servacius Beda Likwelile And in the Matter of Application for the Letters of Administration without Will by Raymond Babu Likwelile And In the Matter of Caveat by Vicky Paschal Kamata (Probate And Administration Cause No. 50 of 2021) [2023] TZHC 21069 (15 September 2023).

kesi ya MKE WA LYATONGA MREMA In the matter of the Estate of the Late Augustino Lyatonga Mrema And In the Matter of Application for Letters of Administration without Will by Peter Augustino Mrema And In the Matter of Caveat by Doris Agness Augustin Mkandala (Probate And Administration Cause No. 263 of 2022) [2023] TZHC 21960 (20 October 2023)

Soma kesi ya JAQ MENGI , amepewa nini?

# Wanawake wote mnaoishi kimapenzi na waume za watu, mmepangiwa nyumba Sinza, Goba, Mikocheni na Kawe, mnatesa na magari mazuri huku mke wa ndoa akijibana kwenye bajaji ya kuchangia muache mara moja, mtalia siku mume akifa: Wewe ni kimada hata taulo mlilokuwa mnajifutia baada ya sherehe ya usiku hutapewa.
 
🤣😂aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Anna?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofisini enzi hizo Niko junior, boss akanambia kalete jalada lake, sasa si mke wa Rais mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao, afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla. Sasa nimefika masjala, dada wa masjala ananizingua, nikasubiri kama dk 10, ndo napeleka jalada, alooh aliniwashia Moto, kidogo Nilie, boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi, katoka chuo juzi msamehe tu🤣
 
[emoji1787][emoji23]aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Ana?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofcn enzi hizo Niko junior,boss akanambia kalete jalada lake,sa si mke wa raisi mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao,afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla ,Sasa nimefika masjala,dada wa masjala ananizingua,nikasubiri kama dk 10,ndo napeleka jalada,alooh aliniwashia Moto,kidogo Nilie,boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi,katoka chuo juzi msamehe tu[emoji1787]
Hahahaaaa
 
Daah hizi tabia kumbe ni mizizi..nilidhani matawi tu!! Kwahiyo mama mlaki nae alikuwa mchepuko kumbe...tena na mutu muzito kabisaa!!! Alifanikiwa kupata mtoto na Bm sasa!?
Rita alikuwa anaishi na mama Anna wakiwa ndugu

Ben hakuona sababu ya kuhamgaika mitaani Anna akiwa kwenye maunisefu huko Duniani
 
Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.

Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia Ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba Ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.

Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakuwa na upendo tena na Anna.
 
Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.
Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.
Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakua na upendo tena na Anna.
Ila uzeeni wakaishi wote wakaleana, hadi BM anafariki wanaishi pamoja.
 
Back
Top Bottom