Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

[emoji1787][emoji23]aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Ana?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofcn enzi hizo Niko junior,boss akanambia kalete jalada lake,sa si mke wa raisi mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao,afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla ,Sasa nimefika masjala,dada wa masjala ananizingua,nikasubiri kama dk 10,ndo napeleka jalada,alooh aliniwashia Moto,kidogo Nilie,boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi,katoka chuo juzi msamehe tu[emoji1787]
Mbn namuonaga mpolee duuh..... Wachaga hpn [emoji119]
 
Kweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.

Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake

Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.

Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.
 
Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.

Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
Ndo tatizo letu, mtu kufariki haimaanishi kuwa mabaya au mema yake yasitajwe, Ben alikuwa kiongozi wa nchi ni role model!

JF Kennedy ametajwa mara kadhaa kwa tabia zake mbaya za umalaya akiwa Ikulu, lakini ana mambo yake mengi ambayo watu wanayakumbuka hadi leo akiwa huko kaburini.

Mabaya ya Ben yawekwe tu hadharani ili hadhira ijifunze na itachukua yale mema aliyoyatenda.
 
Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.
Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.
Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakua na upendo tena na Anna.

Watu wengi sana wanaishi kwenye ndoa ili kuwaridhisha wapenzi watazamaji ila hawana amani wala hawana raha
 
Weeh hana upole wowote
Alisema huyu binti ni afisa kweli?anatafuta file dk 10?
Wakati mtafuta faili siyo Mimi😂🤣
Nilitetemeka nikajua ndo naenda kutemeshwa bungo🤣si wajua kitete Cha kuanza kazi 🤣😂
Pole sana, wakati mwingine ukali huwa ni hulka ya mtu binafsi.

Hata kama una cheo/wadhifa Mkubwa lakini haikuondolei kufuata utaratibu.

Kuna kazi moja ilihusisha kukutana na Mzee Pinda wakati fulani, though ilikuwa baada ya kustaafu.

Lakini Mzee wa watu alikuwa peace ✌️ tu wakati anasubiri nimuhudumie.

Na alikuwa anapenda ucheshi kidogo, japo Walinzi wake walikuwa kama hawapendi Mzee aendelee kukaa muda mrefu pale.
 
Back
Top Bottom