Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Nakumbuka kuna siku Mkapa alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita Mlaki akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Mlinzi wake ndo akaenda kumtoa.. Alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa. Tena alikuwa Rais anatoka zake Mbezi ya Chini kwa Lita.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.

Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake

Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.

Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.
Imagine hiyo ajali ingemuumiza beyond repair sijui vyombo husika vingeandika nini!!
 
Ila sikati tamaa, ngoja nitafute kijora cha kijani nianze kupita pita korido za Lumumba.....ntaweletea mrejesho nikiwa kwenye viete🤣🤣🤣
Ulivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
 
Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mlaki. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.

Mzee Mlaki alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote
Noma sana!
 
Back
Top Bottom