Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Ulivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari na nusu, nimechoka kuukalia uchumi Mie.....we subiri mrejesho.

Ila Lamomy siongozani nae atanichomesha Kwa bro🤣🤣🤣
 
Wasingekosa kitu cha kusema, raia wengi wa hii Nchi tumekuwa rahisi sana kuwa-brainwashed

Yaani Viongozi hata hawapati Shida kututawala maana rates ya Ujinga nadhani imefikia asilimia 68 kwa 32 kwa waliosoma
Mzee BM alikuwa na matukio mengi sana, Kibaha, Masaki kote slikuwa na michuchu na alikuwa anaendesha gari mwenyewe.
Kwa Masaki...kuna ka kimada kaliiuwa jirani na nilikoanzia kazi yangu ya kwanza...mzee alikuwa hakauki
 
Kuna taasisi fulani ya serikali Morogoro imepiga marufuku pkpk kuingia kwenye compound yake kisa Katibu Mkuu wake alichukizwa na honi ya pikipiki
Huyo Katibu alikuwa Mjamzito nini?

Maana mimba huwatesa Wanawake wengi sana.

Unaweza kuta hiyo mimba wakati inaingia alibebwa na Pikipiki kumpeleka eneo la Machinjio 🤗🏃🏃🏃
 
Kweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.

Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake

Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.

Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.
Mkuu Weath na Power Vinaweza kutu classify binadamu lakini kuna mahitaji mengi tuna meet kwenye Ground Moja haswa sisi Men tuna Sehemu lazima tukutane tu kwa ground
 
Pole sana, wakati mwingine ukali huwa ni hulka ya mtu binafsi.

Hata kama una cheo/wadhifa Mkubwa lakini haikuondolei kufuata utaratibu.

Kuna kazi moja ilihusisha kukutana na Mzee Pinda wakati fulani, though ilikuwa baada ya kustaafu.

Lakini Mzee wa watu alikuwa peace [emoji3577] tu wakati anasubiri nimuhudumie.

Na alikuwa anapenda ucheshi kidogo, japo Walinzi wake walikuwa kama hawapendi Mzee aendelee kukaa muda mrefu pale.
Huyo mama Che ni mshamba tu kama alimind kuwekwa ofisini for 10 minutes, Kuna watu ni Humble sana akiwemo Mzee Pinda very decent
 
Huyo Katibu alikuwa Mjamzito nini?

Maana mimba huwatesa Wanawake wengi sana.

Unaweza kuta hiyo mimba wakati inaingia alibebwa na Pikipiki kumpeleka eneo la Machinjio 🤗🏃🏃🏃
Labda, ila imeshangaza wengi kwasababu wizara yake ina wajibu wa kuwaelimisha maelfu ya watanzania, inashangaza sijui alishindwaje kumuelimisha huyo mmoja kama honi haikupulizwa ipasavyo
 
Mzee BM alikuwa na matukio mengi sana, Kibaha, Masaki kote slikuwa na michuchu na alikuwa anaendesha gari mwenyewe.
Kwa Masaki...kuna ka kimada kaliiuwa jirani na nilikoanzia kazi yangu ya kwanza...mzee alikuwa hakauki
Inaonekana suala la Sisi Wanaume kuridhika na Mwanamke mmoja limekuwa changamoto sana.

Ni vile wengine we keep our Profile low, zikija kuwekwa wazi itakuwa balaa 😅

Hata Mwendazake naye alikuwa mpenzi wa hayo Mambo, ukikutana na ile cycle ya Ikulu huwa wanasema.

Huyo Msoga naye ilikuwa ni vile vile

Wanaume tukakanyage mafuta tu huenda ikasaidia, maana hadi kuna Wazee wa miaka 70+ lakini bado wanahangaika na pussy cat tu 😆
 
Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mlaki. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.

Mzee Mlaki alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote
Huyo Mzee Mlaki peponi moja Kwa moja, yeye na Yule aliyekuwa balozi wetu China waingie peponi bila hesabu....na wanawake wote tuitikie Amin.
 
Back
Top Bottom