Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Kaka angu anakupenda, kwako kapiga breki kubwa...infwact ukoo mzima tunakupenda....si unaona hata wifiyo nguvu ya kukuchamba sina....naishia kulia tu😭😭
Kakutuma unijaze? 🤣🤣🤣
Wifi me sina tatizo nawapenda wotee ukoo mzima!!
Usinichambe mwaya wifiyo ntapata puresha kaaunt kako katatoka bure!!🤣🤣🤣
 
Viongozi kuwa Malaya muasisi ni mchonga, Tena yeye alikuwa akila Malaya wa kizungu akienda kwenye ziara nje ya nchi,
Huko ndiko Aliko upatia ukimwi, ukamuondoa
Born town, Master Shivo mwenyewe.
ndiye aliyetuletea v/maalum akawapachika vimaada wake 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Acha kupotosha siku waganga waliokifichua wachawi walipofika ben na kaka yake walikuwepo na kwasimulizi yake mwenyewe anadai kaka yake alisukumwa wakati anamtetea bibi yake... mimi ni mmakua natokea ukoo wa milanzi na madai ya wanakijiji yalikuwa ni kweli kabisa hao bibi zake walikuwa wachawi naufahamu huo ukoo ni wachawi mno
 
Kakutuma unijaze? 🤣🤣🤣
Wifi me sina tatizo nawapenda wotee ukoo mzima!!
Usinichambe mwaya wifiyo ntapata puresha kaaunt kako katatoka bure!!🤣🤣🤣
Siwezi kukuchamba usingizi wa Kaka, Wala hajanituma Ila namjua Kaka angu, I can see he is in love, umemtuliza....manake zamani alikuwa akivurugwa huko anakiwasha hadi Kwa Sisi ndugu zake🤣🤣🤣 umempa peace of mind why tusikupende Wii😘

Kesho ntapanda juu ya mti mwenyewe niangue embe mbichi nikuletee ....
 
Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.

Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
Hata wewe ukiaga mambo yatakuwa hivi, ndio tujue kwa nini walisema Dunia tambara bovu.
 
Kuna wakati "vichwa" vinapoteza ushirikiano.

Ni Wanaume tu watanielewa. Hata Wasanii wakaimba "wanaume tumeumbwa...mateso mateso".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…