Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 Khaaaaaaa!!!Namjua sana🤣🤣🤣 Atanigombanisha bure na Kaka angu.
Jamani wifi sisemi haki vile, we twende uko Lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Khaaaaaaa!!!Namjua sana🤣🤣🤣 Atanigombanisha bure na Kaka angu.
Huyo mzee wa Msogani ndo funga kazi mpk alipata tatizo la pumbunyo, muda wote alikuwa anapeleka moto!!Nilijuaga yameanzia na Kikwete na Mboni🤣🤣🤣
Kakutuma unijaze? 🤣🤣🤣Kaka angu anakupenda, kwako kapiga breki kubwa...infwact ukoo mzima tunakupenda....si unaona hata wifiyo nguvu ya kukuchamba sina....naishia kulia tu😭😭
Hizi hizi za siku hizi story zake utazisikia after 20 years kama hizi za kina Bi R.Wewe! Kumbe? Maku zenyewe siku hizi🤔
Haaaaa brother! Punguza basi 😀😎Viongozi kuwa Malaya muasisi ni mchonga, Tena yeye alikuwa akila Malaya wa kizungu akienda kwenye ziara nje ya nchi,
Huko ndiko Aliko upatia ukimwi, ukamuondoa
😆Hizi hizi za siku hizi story zake utazisikia after 20 years kama hizi za kina Bi R.
Ni unaa unawasumbua 🤣🤣🤣Nikionaga mwanaume anapondea habar za pussy huwa namtilia sn mashaka huo uanaume wake[emoji4]
Bibie inaonyesha una chuki sana na mboweSijui alimpa nini Makengeza wetu Mbowe mpaka akachanganyikiwa na Mukya tena mke wa Mtu. Don't trust mtu mwenye makengeza humu duniani.
Born town, Master Shivo mwenyewe.Viongozi kuwa Malaya muasisi ni mchonga, Tena yeye alikuwa akila Malaya wa kizungu akienda kwenye ziara nje ya nchi,
Huko ndiko Aliko upatia ukimwi, ukamuondoa
Babu uliambiwa ufungue group utuadd wajukuu zako wote uwe unatusimulia ulivyo hausimamishi🤣🤣🤣Hahaha...............hasa ukikutana na Mwanamke mnyumbulifu kwa bed 🤗
Acha kupotosha siku waganga waliokifichua wachawi walipofika ben na kaka yake walikuwepo na kwasimulizi yake mwenyewe anadai kaka yake alisukumwa wakati anamtetea bibi yake... mimi ni mmakua natokea ukoo wa milanzi na madai ya wanakijiji yalikuwa ni kweli kabisa hao bibi zake walikuwa wachawi naufahamu huo ukoo ni wachawi mnoMasasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.
Nikweli kabisa sisi wamakua tupo hivyo sisi ni kula raha tuWamakua ndivyo walivyo.
+ Ma DCBorn town, Master Shivo mwenyewe.
ndiye aliyetuletea v/maalum akawapachika vimaada wake 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mboni Malion?Nilijuaga yameanzia na Kikwete na Mboni🤣🤣🤣
Siwezi kukuchamba usingizi wa Kaka, Wala hajanituma Ila namjua Kaka angu, I can see he is in love, umemtuliza....manake zamani alikuwa akivurugwa huko anakiwasha hadi Kwa Sisi ndugu zake🤣🤣🤣 umempa peace of mind why tusikupende Wii😘Kakutuma unijaze? 🤣🤣🤣
Wifi me sina tatizo nawapenda wotee ukoo mzima!!
Usinichambe mwaya wifiyo ntapata puresha kaaunt kako katatoka bure!!🤣🤣🤣
Mboni Malion?
Aiseeeeee huyo simpatiSio huyo kuna Mboni mwingine ana mtraaako wa kwenda.
Hata wewe ukiaga mambo yatakuwa hivi, ndio tujue kwa nini walisema Dunia tambara bovu.Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.
Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
Kuna wakati "vichwa" vinapoteza ushirikiano.Kweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.
Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake
Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.
Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.