Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
📌😆Huwa wanaoa🤣😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌😆Huwa wanaoa🤣😂
Anhaaa.,.,. Kumbe duh so mbaya acha tujifunze kwa wakubwa zetuKuna Wazee wa umri wa miaka 60+ wakutosha tu, ingawa huwa wanaingia mara chache chache
Japo Vijana wa miaka 20 hadi 40 wamejaa sana humu, nadhani hawa ndiyo wataendelea kuipa Uhai JF baada ya Kundi hili la 60+ kuanza kupotea kutokana na Umri
Kwenye zipo hapo hakunaga mtu serious!Imagine BM alivyokuwa anaongea yupo serious vile kumbe alikuwa mchepukaji😆😆
😆😆😆😆🙏🏿🙏🏿📌🙏🏿📌💣Weeh yashaisha hayo
Nilikula nikapangusa midomo,nikakausha,manake niliona ataniganda na kuniharibia family👌
😂😂😂 Hatari sanaKwenye zipo hapo hakunaga mtu serious!
Wale Wanaoishi Italia wakikusalisha unaweza amani leo ndio mwisho wa dunia ila wanapiga mashine balaa, si watoto, wakubwa na wake za watu:
![]()
Inatisha, padri mbaroni akidaiwa kulawiti watoto 10
Anatuhumiwa kuwadhalilisha watoto zaidi ya 10 wa mafundisho ya komunio na kipaimara. Huwapa kati ya Sh3,000 hadi Sh5,000.www.mwananchi.co.tz
Na Wale wale wengine wamo.
na ule msauti wake wa mamlakaImagine BM alivyokuwa anaongea yupo serious vile kumbe alikuwa mchepukaji😆😆
Unanjua T, huwa unanionea bure. Hakuna kiapo cha kutotaja siri za Marehemu. Mtu ukishakufa hata kama ana watoto wa nje watatajwa, ana nyumba amejenga kwa siri itatajwa. Hata ugonjwa ulomuua. Sasa kusema Rita na Mkapa walikuwa marafiki ni jinai? Kwani uongo?Si sawa mlinzi Kutoa taarifa za aliyekuwa bosi wake hata kama amefariki.
Tuheshimu viapo.
Naogopa sana wanaume, mda wowote anasikia muwasho.😂😂😂 Hatari sana
Yaani akiongea na Ile miwani utadhani hata chumbani alikuwa akimwambia mkewe kwamba, "Tupo kitandani, itifaki izingatiwe". Kumbe, Daah😂😂na ule msauti wake wa mamlaka
Mbona unamkatia hivyo mwanamke mwenzakoHuo urafiki tulianza lini?
Sina rafiki kipepeo mimi. Mambo ya rangi rangi hayo na mimi tofauti, kama ardhi na mbingu. Nituwe.
Hii miwashi Iko kote bosi Tena Bora mwanaume.Naogopa sana wanaume, mda wowote anasikia muwasho.
Sijajuwa, anisamehe sana, maana naona jina siyo la kiume nikafikiri wale wa rangi rangi.
Ni mwanamke mkuu ondoa hofuM
Sijajuwa, anisamehe sana, maana naona jina siyo la kiume nikafikiri wale wa rangi rangi.
Nisamehe ssana Ironbutterfly sijajuwa kama wewe ni binti.
Thousand apologies.
Umeutaja muwasho mnara ushaanza kusoma 4g dooohNaogopa sana wanaume, mda wowote anasikia muwasho.
Haha nilitaka kusema hili.... umeniwahi asee!BM na Wachaga!!
Na ni kiburi balaa... na kale kamwili lkn ana jeuri na kiburi kupita kiasi.🤣😂aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Anna?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofisini enzi hizo Niko junior, boss akanambia kalete jalada lake, sasa si mke wa Rais mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao, afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla. Sasa nimefika masjala, dada wa masjala ananizingua, nikasubiri kama dk 10, ndo napeleka jalada, alooh aliniwashia Moto, kidogo Nilie, boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi, katoka chuo juzi msamehe tu🤣
Hizo namba mbili ni kisanga🤣🤣🤣hao ndo mapepe wa jf😆😆wako resi balaa..
Wabongo tunalazimishana sana vitu.. mbona Kenya mwamba Daniel Toroitich Arap Moi katawala nchi 23 years akiwa mseja?Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.
Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia Ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba Ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.
Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakuwa na upendo tena na Anna.