Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Mkuu raraa reree , asante kuni tag, mode please do the needful kutuondolea haya mauchafu kwenye jukwaa letu hili adhimu!.

Ni dhambi kwa Mungu kumchafua mtu ambaye hawezi kujitetea!, unless mtoa hoja ndiye alikuwa anamshikia mguu!.
P
Nilikuwa nataka kusikia unasemaje kuhusu suala hili japo sio kwa kuusemea uzi uondolewe
 
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .
Hii ya Ardhi nakubaliana na wewe Mkuu...
Na sehemu alizonazo ni zile Potential haswa...

Imagine kila Mtoto wake amempa eneo la kuishi Masaki au Mikocheni huko...
 
Haihusu
emoji3.png
Dada zetu mmewateka viongozi wengi sana!!
 
Ndo tatizo letu, mtu kufariki haimaanishi kuwa mabaya au mema yake yasitajwe, Mkapa alikuwa kiongozi wa nchi ni role model!

JF Kennedy ametwa mara kadhaa kwa tabia zake mbaya za umalaya akiwa Ikulu, lakini ana mambo yake mengi ambayo watu wanayakumbuka hadi leo akiwa huko kaburini.

Mabaya ya Mkapa yawekwe tu hadharani ili hadhira ijifunze na itachukua yale mema aliyoyatenda.
Kwani watasha wana utamaduni gani?
Sisi huku tukifa tunageuka ancestors. Sasa mseme seme marehemu kumbe yupo bize anazuia kimbunga jobo huko. Ohooo
 
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .
Waliokuwa Karibu na "Mzee" mwenye waliuziwa nyumba zaidi ya 4 maneno ya Masaki na Oysterbay!
Nyumba nyingi ziliuzwa kwa Milioni nne na mtu baada ya kununua tu anauza kwa bilioni 3 au nne, Ndio maana tunatafuta wawekezaji.
 
Back
Top Bottom