Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Weeh hana upole wowote
Alisema huyu binti ni afisa kweli?anatafuta file dk 10?
Wakati mtafuta faili siyo Mimi[emoji23][emoji1787]
Nilitetemeka nikajua ndo naenda kutemeshwa bungo[emoji1787]si wajua kitete Cha kuanza kazi [emoji1787][emoji23]
Hahahaha eti bungo..
 
Sijajuwa=Sijajua😌 shule ulienda kusomea ujinga!
Nimeanza kuandika Kiswahili kwa herufi zake za asili za Kiarabu. Soma:

 
Hakuna mwanaume mwenye Hela na afya njema Hana michepuko kuanzia mitatu ya kudumu na kula mara tatu UDA za mbagala
 
Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.

Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia Ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba Ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.

Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakuwa na upendo tena na Anna.
Sio Ben tu, hata Anna hakuwahi kumpenda tena BM ndio sababu hata baada ya usuluhishi wa mchonga wakaenda nyumba kuu lakini Anna alikuwa anaenda kugongwa na yule mchepuko wake jambo ambalo lilizidisha hasira ya BM kwa Anna
 
Kweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.

Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake

Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.

Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.
Vya sirini vina utamu wake aseeee
 
Ndo tatizo letu, mtu kufariki haimaanishi kuwa mabaya au mema yake yasitajwe, Ben alikuwa kiongozi wa nchi ni role model!

JF Kennedy ametwa mara kadhaa kwa tabia zake mbaya za umalaya akiwa Ikulu, lakini ana mambo yake mengi ambayo watu wanayakumbuka hadi leo akiwa huko kaburini.

Mabaya ya Ben yawekwe tu hadharani ili hadhira ijifunze na itachukua yale mema aliyoyatenda.
Ungezungumzia mema yake unafikiri angekubwekea baaas! Waswahili tuna nongwa sana na unafiki wa hali ya juu
 
Ndo tatizo letu, mtu kufariki haimaanishi kuwa mabaya au mema yake yasitajwe, Ben alikuwa kiongozi wa nchi ni role model!

JF Kennedy ametwa mara kadhaa kwa tabia zake mbaya za umalaya akiwa Ikulu, lakini ana mambo yake mengi ambayo watu wanayakumbuka hadi leo akiwa huko kaburini.

Mabaya ya Ben yawekwe tu hadharani ili hadhira ijifunze na itachukua yale mema aliyoyatenda.
...Amina ! [emoji846]...
 
Mind your mother fucking business achana na mambo ya watu pia jitahidi uheshimu wafu waliopumzika.
screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924

Si sawa mlinzi Kutoa taarifa za aliyekuwa bosi wake hata kama amefariki.

Tuheshimu viapo.
screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924
 
[emoji1787][emoji23]aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Anna?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofisini enzi hizo Niko junior, boss akanambia kalete jalada lake, sasa si mke wa Rais mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao, afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla. Sasa nimefika masjala, dada wa masjala ananizingua, nikasubiri kama dk 10, ndo napeleka jalada, alooh aliniwashia Moto, kidogo Nilie, boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi, katoka chuo juzi msamehe tu[emoji1787]
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
iwekwe lamination hii...namwambiaga babe yangu haya maneno daily...ukiwa huna hela vishawishi kibao...ukiwa nazo hata mumeo unampa ratiba...unamwambia kbs jpl usiniguse juma3 nna kikao na wafanyakazi wangu😆
Yaani imagine una Hela ya kusolve matatizo Yako Sasa mwanamme wa pembeni wa kazi gani?anakuja na maajabu gani?
 
Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mumewe. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.

Mzee M alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote
Mkuu wachaga wote hawako hivo .apambane na.mkewe

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom