Ishia hapo hapo, Kaka angu nampenda sana, siwezi ruhusu aibiwe🤣🤣🤣 Kwenye maokoto sikuchomeshi wizo
Mwenyewe natafuta wangu tunatunziana siri
Halafu kuna siku ulimfokea humu, nililia sana😭😭😭, hapa Nimekumbuka naliaa tena😭😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishia hapo hapo, Kaka angu nampenda sana, siwezi ruhusu aibiwe🤣🤣🤣 Kwenye maokoto sikuchomeshi wizo
Mwenyewe natafuta wangu tunatunziana siri
Hapo Bonyokwa wakupe hata ujumbe wa nyumba kumi kwanzaKaka Yuko serious sana, hawezi kubali dada ake niliwe kimasihara....ngoja nitapambana mwenyewe....Lumumba sio mbali.
Kwa kuanzia sio mbaya🤣🤣🤣Hapo Bonyokwa wakupe hata ujumbe wa nyumba kumi kwanza
mwanzo mzuri huoKwa kuanzia sio mbaya🤣🤣🤣
Watu wanazo za ndani kabisa[emoji4]
😂😂😂 Uchague shupaza sasa sio mijokeri tukalambishwa vi5 afu mwisho wa mchezo akagemua tukabaki na vijora vya chamaKaka Yuko serious sana, hawezi kubali dada ake niliwe kimasihara....ngoja nitapambana mwenyewe....Lumumba sio mbali.
Wee mbona sikumbuki lini nilimfokea?Ishia hapo hapo, Kaka angu nampenda sana, siwezi ruhusu aibiwe
Halafu kuna siku ulimfokea humu, nililia sana😭😭😭, hapa Nimekumbuka naliaa tena😭😭😭😭
Ha haha ...kweli aisee[emoji4]Mkuu Weath na Power Vinaweza kutu classify binadamu lakini kuna mahitaji mengi tuna meet kwenye Ground Moja haswa sisi Men tuna Sehemu lazima tukutane tu kwa ground
Hizi inteligensia tungewekeza kwenye Mikataba ya Nchi nadhani hawa walamba Asali akiwemo BM wasingechezea Maliasili zetu
Nikionaga mwanaume anapondea habar za pussy huwa namtilia sn mashaka huo uanaume wake[emoji4]Inaonekana suala la Sisi Wanaume kuridhika na Mwanamke mmoja limekuwa changamoto sana.
Ni vile wengine we keep our Profile low, zikija kuwekwa wazi itakuwa balaa [emoji28]
Hata Mwendazake naye alikuwa mpenzi wa hayo Mambo, ukikutana na ile cycle ya Ikulu huwa wanasema.
Huyo Msoga naye ilikuwa ni vile vile
Wanaume tukakanyage mafuta tu huenda ikasaidia, maana hadi kuna Wazee wa miaka 70+ lakini bado wanahangaika na pussy cat tu [emoji38]
Hata sikusingizii my Wii, Yani ulimwambia eti yeye alikuwa anazoa zoa humu Jf, anakula visoliwa, ulimchamba....nilisikia uchungu hadi nimelia Mie😭😭😭, Kwa kweli sikulala ile sikuWee mbona sikumbuki lini nilimfokea?
Naanzaje kumfokea laaziz wangu, nyonga mlalia ini!! 🥰🥰🥰
Hivi unajua kwa kaka ako nimefika itakuwa tulikuwa tunataniana bana wizo 🤣🤣🤣
Ongezea kina Marry (Maria) na janeth[emoji4][emoji23][emoji1787]Mbowe bana kamwacha daktari msomi,daktari bingwa muhimbili,Dr.Lilian kaenda kwa joisi darasa la Saba[emoji1787][emoji23]
Ila kina joisi wana zali na wanaume viongozi
Kichoangaliwa Ni pussy TU.[emoji23][emoji1787]Mbowe bana kamwacha daktari msomi,daktari bingwa muhimbili,Dr.Lilian kaenda kwa joisi darasa la Saba[emoji1787][emoji23]
Ila kina joisi wana zali na wanaume viongozi
😂😂😂😂😂😂 Nimecheka mpk watu wananishangaa ujue wizoHata sikusingizii my Wii, Yani ulimwambia eti yeye alikuwa anazoa zoa humu Jf, anakula visoliwa, ulimchamba....nilisikia uchungu hadi nimelia Mie😭😭😭, Kwa kweli sikulala ile siku
Hehehe chezea Maku wewe! 😂😂😂😂 Ndio maana mashoga hawatupendi wanawake!Yaani akiongea na Ile miwani utadhani hata chumbani alikuwa akimwambia mkewe kwamba, "Tupo kitandani, itifaki izingatiwe". Kumbe, Daah😂😂
Hakuna Muislam asiyefahamu maana ya "Reconciliation".Eeh kumbe unaombaga msamaha ?
Kaka angu anakupenda, kwako kapiga breki kubwa...infwact ukoo mzima tunakupenda....si unaona hata wifiyo nguvu ya kukuchamba sina....naishia kulia tu😭😭😂😂😂😂😂😂 Nimecheka mpk watu wananishangaa ujue wizo
Itakuwa kuna kitu nilitumia, usimind me na kaka ako tunataniana humu!!
Halafu usijifanye kaka ako humjui 🤣🤣🤣
Na hizi extra-marital affairs huwa zinafanyika kwenye uwanja wa mpira kila mwenye macho anaona ?Mkuu.
Elewa kuwa hizo deals za mikataba hufanyikia kwenye hotel au lodge huko ughaibuni na huwa ni top secret. So ni ngumu sana kuzidukua kabla hawajaangusha saini.
Ingawa habari zake zitajulikana ila itakuwa late sana.
Wewe! Kumbe? Maku zenyewe siku hizi🤔Hehehe chezea Maku wewe! 😂😂😂😂 Ndio maana mashoga hawatupendi wanawake!
Ulijuaje? 🤣🤣🤣Na ni mbea sana,yaani saa ya kulala anaanza umbea,anamsimulia mmewe kila kitu...