Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaambiwa ukweli afu unamaind, lala ukue!Nijibu tu unavyojisikia Wewe ila naendelea Kusisitiza Kwako kuwa acha Dharau na Kashfa za rejareja. Jiulize ni kwanini nakuambia hivi na mara hii?
Digital Genius of all the time.
Ni mchezaji wa liverpoolMaxence melo ndio nani?
Wewe utakuwa ni programmer wa UDSM nini?Kwahiyo hapa na kwa haya Maelezo yako unataka Kumaanisha au Kutuaminisha nini labda kwani naona kama unakuja kisha pia unatoka kwa Hoja.
Kwanini umesema hivi Mkuu?Wewe utakuwa ni programmer wa UDSM nini?
Ni jokes kona brother.Kwanini umesema hivi Mkuu?
Weka na ya beki wa Chelsea aaitwa Rudiger