ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Yaani huwa kauli zinatolewa na nani je ni waziri au taifa kwa ujumla au rais.
Kwa mfano tuseme ingekuwa wanajeshi wanahusika kuwasaidia waasi labda Msumbiji na watu wote tukawa tunajua kabisa mpakani huko wanasaidia je wanaposhutumiwa kauli ipi wangetoa inayofanana na ya Rwanda.
Je, wangesema hawajui kabisa na kukanusha au wangesema nini maana ulimwengu mzima unajua ukweli sasa rwanda kupinga pinga inakujaje?