Hivi saa inavaliwa mkono gani kwa mwanaume

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
 
Attachments

  • VbAACAaLjx0BMl3fQ5PV9mMe4M6iWdKg_2025_01_20_07_43_08.jpeg
    VbAACAaLjx0BMl3fQ5PV9mMe4M6iWdKg_2025_01_20_07_43_08.jpeg
    366.4 KB · Views: 2
Kwani muongozo rasmi kwa viongozi wa umma unasemaje kuhusu kuvaa saa......??

Yaani kabisa mtu mzima unahangaishwa kifikra na jambo la kipuuzi kama hili la utashi wa mtu binafsi......??

Yaani katika yote kwenye maisha yako na wapendwa wako ndugu yangu hili ndio linaloisumbua akili yako....??

Inawezekana hii nayo ikawa ni moja ya tatizo la afya ya akili kwa maana nikitafakari mtu mzima mwenye akili timamu anaanzaje kuhangaishwa kifikra na jambo kama hili.......
 
Mimi huwa navaa mkono wa kulia ..japo kwa nature ya kazi nikienda kazini navaa wa kushoto
 
Kwani muongozo rasmi kwa viongozi wa umma unasemaje kuhusu kuvaa saa......??

Yaani kabisa mtu mzima unahangaishwa kifikra na jambo la kipuuzi kama hili la utashi wa mtu binafsi......??

Yaani katika yote kwenye maisha yako na wapendwa wako ndugu yangu hili ndio linaloisumbua akili yako....??

Inawezekana hii nayo ikawa ni moja ya tatizo la afya ya akili kwa maana nikitafakari mtu mzima mwenye akili timamu anaanzaje kuhangaishwa kifikra na jambo kama hili.......
Ubaya wa hizi mambo, hata mwenye tatizo la akili, anaona wanaomzunguka ndo wana tatizo hilo..!!
 
Certified Hater 😁 mtujibu bana.. kwanini mko comfortable na kuvaa saa kulia? Binafsi nikivaa hata bracelet mkono wa kulia sitoweza hata kuandika.

NB: saa inapendeza sana kuvaliwa kushoto..
 
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
mkono wowote ni ruksa (the choice is ultimately personal preference and depends on whether you are left or right-handed)
 
Inategemea unatumia mkono gani, lengo ni kuilinda saa yako isipate itlafu zinazotokana na kazi za mikono.
Binadamu wengi ni Right handed hivyo tunavaa saa kushoto, Left handed wanavaa kulia.
Ikumbukwe si sheria ni utaratibu tu unaeza vaa hata mguuni au shingoni.
 
Superb!
 
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Saa yako, mkono wako, unachagua mwenyewe mkono wa kuvaa.

Ikiwezekana hata kama unataka kuvaa mguuni vaa.

Kama kuna watu wanaandikia kwa mkono wa kulia, wengine wa kushoto, utamlazimisha vipi mtu mwenye saa yake na mkono wake avae saa mkono fulani?

Yani mtu aache kuvaa yake saa mkono wake anaoona yeye unafaa, afuatishe sheria isiyo na kichwa wala mguu ya kuvaa saa mkono fulani?

Acheni ujinga wa kuishi kwa kukariri mambo.
 
Sio sheria wala lazima ni kulingana na yeye anavyopenda
 
Back
Top Bottom