Hivi saa inavaliwa mkono gani kwa mwanaume

Sijawahi vaa saa mkono wa kushoto na siwezi hata nikijaribu
 
Binafsi yangu navaa saa mkono wa kulia, na sioni kama ni uhuni.
 
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Kwani kazi ya saa Nini!? Ikivaliwa kulia inapoteza majira au shida nini!?
 
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Siku hizi watu hawavaagi saa
 
Back
Top Bottom