Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kwani kazi ya saa Nini!? Ikivaliwa kulia inapoteza majira au shida nini!?Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Allah ana mkono wa kulia tu
Siku hizi watu hawavaagi saaHuyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
You will never know...