Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo hawa ndo waje watoboe Zile zigzag za Kibo Camp?... Jamaica kisha Gilmans, Stella then Uhuru?
Mmq nimekaa paleee
Lakini sio issue sana sasa.Jezi itafika kilele cha mlima Kilimanjaro na itazinduliwa huko,iwe na viongozi ama mashabiki wa Simba lakini itafika na itazinduliwa.
Ipo namna timu imejipanga tutajua siku hiyo.
Kwenda mchana pia sio kazi ndogo.Labda kwa sababu wameamua kwenda Summit mchana ili saa 1 wawe pale Uhuru [emoji23][emoji23]
Chief Mangungo ndio nani???Ndio nashangaa kwani lazima apande try again au chief mangugo?
Hivi wanavyosema ikifika saa 1 watakuwa kileleni na uzinduzi utafanyika. Siku hizi internet ya uhakika inapatikana pale juu kurusha live au mipango ikoje?Kwenda mchana pia sio kazi ndogo.
Giving up is very Easy
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika na hiyo live yao.Hivi wanavyosema ikifika saa 1 watakuwa kileleni na uzinduzi utafanyika. Siku hizi internet ya uhakika inapatikana pale juu kurusha live au mipango ikoje?
Nlisikia tiGo wamefunga 5GHivi wanavyosema ikifika saa 1 watakuwa kileleni na uzinduzi utafanyika. Siku hizi internet ya uhakika inapatikana pale juu kurusha live au mipango ikoje?
Tusitishanee 😀😀😳Kuna kukata moto, nafikiri takwimu huwa hazitajwi kwa sababu za kibiashara ila wapo.
![]()
Mwandishi TBC afariki dunia akishuka Mlima Kilimanjaro
Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji (TBC), Joachim Kapembe afariki dunia jana Desemba 13, 2022 wakati akishuka kutoka mlima Kilimanjaro.www.mwananchi.co.tz
Yanga wasije wakafanya njama wakawakaba huko njiani wakakimbia na jezi maana mna nongwa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga wasije wakafanya njama wakawakaba huko njiani wakakimbia na jezi maana mna nongwa sana
Sina uhakika na hiyo live yao.
Ila pale juu kuna network.
Not that strong
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ooh ok. Ila wangeweza kutumia njia nyingine ya uhakika zaidi. Wangepanda kimya kimya, wakafanya recording ya quality ya juu, siku waliyochagua wakatoa promo ya kushtukiza. Ila naelewa kwa nini wametumia njia hii ya kutangaza mapema.Nlisikia tiGo wamefunga 5G
Dakika 20 Uhuru peak ni nyingi sana.Ooh ok. Ila wangeweza kutumia njia nyingine ya uhakika zaidi. Wangepanda kimya kimya, wakafanya recording ya quality ya juu, siku waliyochagua wakatoa promo ya kushtukiza. Ila naelewa kwa nini wametumia njia hii ya kutangaza mapema.
Ulinzi uwepo wa kutosha tafadhali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio mwehu, cha muhimu jezi ifike juu na ionyeshwe kwa mara ya kwanza ikiwa kileleni no matter kaifikisha nani na kaionyesha nani,Kwa akili yako ya kuvukia barabara,unadhani uzinduzi wa jezi utafanywa na tour guides? Au viongozi wa timu?
Mi nshapiga upagazi mlimani, najua tabu za kule lakini watu wanatoboaKuwa Moshi ni kitu kimoja kwenda kupanda mlima ni kitu kingine.
Wewe hujawahi kupanda nadhani unasimuliwa tu.Huijui shughuli yake
Nongwa gani unayosema?
Nadhani wangetumia njia hiyo ya kurekodi mapema wangekuwa na nafasi zaidi kuongeza ubunifu badala ya kutegemea mambo ya live ambayo yanaweza kuwa na changamoto nyingi. Wangeweza kurekodi njiani pia, wakaunganisha na footage za kiwandani jezi zilipotengenezwa ili kutengeneza kama kadocumentary hivi kakali ka dakika 3. Hapa nawaza idea moja kali sana, labda nitaipenyeza kwa wahusika ili mwakani ifanyiwe kazi.Dakika 20 Uhuru peak ni nyingi sana.
Easy batteries kuwa dried.
Kiafya don't spend more than 10minutes...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app