Hivi safari ya Mb Dogg kwa Nancy Sumari iliishia wapi?

Hivi safari ya Mb Dogg kwa Nancy Sumari iliishia wapi?

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ".

Mb Dogg aliishia wapi?
 
Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ".

Mb Dogg aliishia wapi?
Ulikuwa umekufa ndo umefufuka leo sio
 
Kilajambo huja kwa wakati wake, wakubwa tunasema hilo nalo lilipita...
 
Nimemmisi sana huyo mtu,,, si uliniambia kwamba wajaaaa
 
Back
Top Bottom