Samatta kaenda kutamba huko kongo kwao na mayele hajulikan, samatta kwenye peak yake mayele wawe wa3 nusu na robo.
Kila kitu na muda, samatta anawatoa mafua mabeki wa kongo, katumbi anamchukua kwenda tp mazembe mayele alikuwa wapi?
Ni sawa leo umuulize tressor mputu,
Samatta kafunga huko Belgium pro league mpaka akachoka, akafeli kkwenda Aston villa (hii inatokea kwenye maisha), walifeli kina di maria itakuwa samatta
Mchezaji bora wa africa.
Ni sawa na kumsema cr7 kisa tu saa hizi hana timu.
Wabongo hatupendani, ni kweli akilii ya mpira ya chama inaweza kuwa kubwa kuzidi hata grealish, ila hilo halifanyi samatta aonekane hajui mpira.