The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mbele ya lissu . Jibu NI kwamba hakuna njia nyingine .kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.
View attachment 3371842
Wanajua mziki wake, wanaweka break hili washinde kwa 95-99% kwenye uchaguzi. Cha ajabu Lissu hagombei sasa ni hapo wanaposhughulikia mwanasiasa hasiye gombea. Moi style.Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.
View attachment 3371842
Ulimaanisha CCM wakiacha uhuni. Wanapungikwa na nini?Hivi lissu akiacha uhuni na kufuata Sheria unapungukiwa na nini
If you see a leader ndani ya lissu.. unamatatizo makubwaUlimaanisha CCM wakiacha uhuni. Wanapungikwa na nini?
Kosa la lissu NI kinyume na Sheria ambayo inasema Kwa kesi ya lissu ni lazima ushaidi uwe umekamilika . Kwanini ? Kwasababu uhaini si ubakaji .uhaini umetendeka na matokeo yameonekana . Una refer Zakaria hans pope .
mropokaji kuachiwa huru bila kushikishwa adabu kwa sheria anazokiuka kwa makusudi yatakua ni makosa makubwa sana katika historia ya utawala wa sheria duniani πPamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.
View attachment 3371842
And if you don't? Na Unaona leadership style ndani Ya mtu ambaye anasema marekani na ulaya wanafanya vibaya ktk uchumi wakati amepewa ban kwamba hata yeye haruhusiwi kwenda kwao .If you see a leader ndani ya lissu.. unamatatizo makubwa
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.
View attachment 3371842
Yes . So sad Gwajima kapotea . madam president ana nguvu Sana.Anajua akimwachia October hatoboi.
Hapo kampiga pini mshindani anayejua hamuwezi!
ππππYes . So sad Gwajima kapotea . madam president ana nguvu Sana.
Wajati Wa Jpm Mwanaume pekee aliyesimama na kuongea hadharani ni Tundu Lissu.Mbele ya lissu . Jibu NI kwamba hakuna njia nyingine .
Ambaye atasimama na lissu na kushinda general election NI mmoja tu MWAMBA JPM
Samia anaongozwa na watu wengine, hana mamlaka hayoPamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.
View attachment 3371842