The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Nov 6, 2025 #1 Kwa mauaji yaliyofanyika, napata shida kuamini kuwa kweli Samia alijifungua watoto wake kwa maumivu. Imekuwaje ameamuru mauaji ya kikatili eti kwa sababu ya kacheo. Inasikitisha na kuchanganya.
Kwa mauaji yaliyofanyika, napata shida kuamini kuwa kweli Samia alijifungua watoto wake kwa maumivu. Imekuwaje ameamuru mauaji ya kikatili eti kwa sababu ya kacheo. Inasikitisha na kuchanganya.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Nov 6, 2025 #2 Hiyo ni siri yake. Ila kwangu mimi namuona kama hana tofauti na shetani.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Nov 6, 2025 #3 Mwanaye mwenyewe ni dracula, we una tegemea jipya hapo?