Hivi samia yupo competent kwenye jambo gani angalau tujivunie uwepo wake kwenye hilo eneo

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Marais wote waliopita kuanzia Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hawa wote licha ya kwamba si wote walikuwa wanawakubali lakini kuna baadhi ya maeneo walikuwa wapo competent mpaka hata wale waliokuwa wanawapinga wanashusha silaha chini na kukiri kwenye eneo fulani wapo vizuri .

Tuangalie hapa

Julius Nyerere

Ubora
Aliunganisha taifa na kujenga umoja wa kitaifa.

Alisisitiza elimu kwa wote na matumizi ya Kiswahili.

Alipinga ukabila na ubaguzi.

Alikuwa kiongozi mwenye uadilifu mkubwa binafsi.

Alisaidia harakati za ukombozi Afrika Kusini na nchi jirani.

Udhaifu

Taifa lilitegemea sana serikali badala ya sekta binafsi.

Kulikuwa na uhaba mkubwa wa bidhaa miaka ya 1970–80.

Mfumo wa chama kimoja ulipunguza ushindani wa kisiasa.

Ali Hassan Mwinyi

Ubora
Alifungua uchumi na kuanzisha sera za soko huria.

Alipunguza ukali wa udhibiti wa serikali kwenye biashara. (Mzee wa Ruksa)

Alipewa sifa ya kuleta uhuru zaidi wa kiuchumi na kijamii.

Alisaidia mpito kuelekea mfumo wa vyama vingi.

Udhaifu

Rushwa iliongezeka sana katika kipindi chake.

Ubinafsishaji mwingine ulihisiwa kutowanufaisha wananchi wa kawaida.

Serikali ilionekana kuwa na nidhamu ndogo kuliko kipindi cha Nyerere.

Benjamin Mkapa

Ubora
Aliimarisha uchumi na ukusanyaji wa mapato.

Alisisitiza nidhamu serikalini na uwajibikaji.

Alivutia wawekezaji wa nje.

Miundombinu na sekta ya madini ilikua zaidi.

Udhaifu

Ubinafsishaji wa baadhi ya mashirika ulipingwa na wananchi.

Baadhi ya watu waliona serikali yake ilikuwa kali kwa wapinzani.

Kulikuwa na malalamiko kuhusu mikataba ya madini kutonufaisha taifa vya kutosha.

Jakaya Kikwete

Ubora
Alikuwa na diplomasia nzuri kimataifa.

Aliimarisha elimu kwa kuongeza shule nyingi za sekondari.

Uchumi uliendelea kukua kwa wastani mzuri.

Alionekana kuwa karibu na wananchi na mwenye mtindo wa maridhiano.
Kipindi cha Kikwete vijana wengi walitoboa haswa kwenye masuala ya burudani

aliwaunganisha wasanii wetu na wasanii wengi wakubwa kidunia mpaka kuna kipindi watu walikuwa wanamuita meneja wa wasanii🤣🤣🤣🤣🤣

Udhaifu

Kashfa za rushwa ziliongezeka kipindi chake.

Watu wengi waliona utekelezaji wa maamuzi ulikuwa dhaifu.

Huduma za kijamii zilipanuka lakini ubora wake ulikuwa changamoto.

John Magufuli

Ubora
Misimamo bila kuyumbishwa na yeyote , tuangalie hata mfano wa covid 19 alivyotupitisha.

Nidhamu kwa watumishi wake serikali ilikuwa juu.

Alipambana na wakwepa kodi na kuongeza mapato ya ndani.

Rushwa ilipungua kwa kiasi kikubwa.

Alijenga miradi mikubwa ya miundombinu kama reli ya SGR na bwawa la umeme.
Barabara nyingi zilijengwa kwa standards za kuridhisha.

Mchapakazi.

Alipunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.

Udhaifu

Alikosolewa kwa kupunguza uhuru wa kisiasa na vyombo vya habari.

Baadhi ya wapinzani na wanaharakati walidai kulikuwa na mazingira ya hofu.

Mfumo wa kufanya maamuzi ulionekana kutegemea mtu mmoja zaidi.

Kwa ujumla:
Julius Nyerere anakumbukwa zaidi kwa kujenga taifa na maadili.

Ali Hassan Mwinyi kwa kufungua uchumi.

Benjamin Mkapa kwa nidhamu ya uchumi.

Jakaya Kikwete kwa diplomasia na upanuzi wa elimu.

John Magufuli kwa kasi ya utekelezaji wa miradi na ukali wa usimamizi.

Je Samia yupo competent eneo gani angalau angalau?
 
Sauti
Macho
Kuchamba
 
Rais wa Tanzania,
Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote, ndio champion wa mazingira Tanzania na Africa kwa ujumla.

Dr.Samia Suluhu Hassan,
ndie kinara wa mageuzi na mapinduzi ya kidemokrasia nchini Tanzania, kwa kuondoa marufuku zote za mikutano ya kisiasa nchini, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu, na ndie kinara mkuu wa kuliunganisha taifa kwa falsafa zake maarufu sana Africa, za Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding.

Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie Rais kinara wa mageuzi katika kilimo, ufugaji na uvuvi kwa kuongeza bajeti mara dufu zaidi ili kuchochea mageuzi ya kiuchumi Tanzania kupitia maeneo hayo.

Dr.Samia Suluhu Hassan,
ndie champion wa maendeleo ya elimu nchini. Anamsomesha na kulipia gharama za masomo kila mtoto anaezaliwa nchini kuanzia awali hadi kidato cha sita, na katika elimu ya juu, Dr Samia Suluhu Hassan anampatia mkopo kila mwanafunzi anaechaguliwa kujiunga chuo kikuu.

nitaendelea baadae kidogo gentleman,
karibu chakula 🐒
 
Unafiki na mauaji
 
Gentleman una mental illness, tafuta matibabu
 
Back
Top Bottom