Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

Kwanini utusemee wanawake na wakati wewe sio mwanamke, hyo kuona ndoa ni Kwa wanawake kuliko wanaume ni hisia zako tu maana wanaume wenyewe kuridhisha wanawake hamna si bora wakoboane tu.
Hafu hyo ya wanawake 6 mume moja ni hadithi tu hizo hazina uhalisia
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
ZEGEMBE la Mama mimi huku hoii. Maza huyo ana noah yake anakujaga dukani kununua mchele wa sherehe nahisi kama ni CATERER hiv, zinga la Trako mamaaeh
 
Back
Top Bottom