Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Sisi kama Set Piece Specialists😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezoLabda kwa kuliiba.
Una kichaa wewe sio bureNimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
Tangu ulivyozaliwa umewahi kuskia Aaassno imeshinda champions league? Umeshaskia champions, hujaelewa nini cha ziada??Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
Barcelona wanacheza wamesambaa sana,ukicheza vile arsenal ndo anafurahiUmeutazama mpira wa Barcelona na Dortmund? Una ujasiri gani wa kumpa matokeo Arsenal mbele ya Barca ya Rafinha na Lamine Yamal bila kumsahau Lewandowski?
Hiko sio kigezo Cha timu isichukue uefaTangu ulivyozaliwa umewahi kuskia Aaassno imeshinda champions league? Umeshaskia champions, hujaelewa nini cha ziada??
Sikuzidi weweUna kichaa wewe sio bure
Huna akiliLabda kwa kuliiba.
Kujifariji pia ni jambo zuri.Huna akili
Kweli eh?Barcelona wanacheza wamesambaa sana,ukicheza vile arsenal ndo anafurahi
Vipi mletewe malaika mcheze nao?Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
Unaelewa football.Japo tunafanya vizuri, na nina uhakika wale nane bora pale juu tutakuwepo, ila kulibeba hili kombe bado mashaka
Arsenal huanza kwa mbio za nguri na kumaliza kwa mbio konokono akiwa hoi.Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
Akili hunaArsenal ni takataka level zake ni FA cup na ngao za jamii hawezi beba kombe lolote
Huna akiliArsenal huanza kwa mbio za nguri na kumaliza kwa mbio konokono akiwa hoi.