Ndugu zetu, na ambao wangekuwa watetezi wetu, Kassimu na Mpango walishatuuza!Amerudi nchini kwake rasmi na atamalizia kampeni zake huko.
Halafu wewe mtanganyika umebaki nchini kwako ukiwapiga ndugu zako watanganyika kwasabb ya kulinda madaraka "yake".
Hebu tuweni na uchungu wenye wivu juu ya nchi yetu Tanganyika ili waifaidi watanganyika.
Sisi tumegeuzwa mateka na mtu wa kuja kweli?
Haki ya nani 29 bora kufa!
Matumaini yetu tumekabidhi mikononi mwa akina kapteni TeshaNdugu zetu, na ambao wangekuwa watetezi wetu, Kassimu na Mpango walishatuuza!
Hakuna mtu anayeweza kukuuza kama una akili. Ukiona umeuzwa, basi shida ni yako.Ndugu zetu, na ambao wangekuwa watetezi wetu, Kassimu na Mpango walishatuuza!
Hongera yako!Hakuna mtu anayeweza kukuuza kama una akili. Ukiona umeuzwa, basi shida ni yako.