Wangewapao options,ukiwa unataka yenye sukari ujiue na kisukari then choice is yours,
Ukweli masukali sio soda tuu
Makeki
Majuice
Vitumbuwa baadhi vinakuwa na Sukari sana
Kona za kulamba sukari zipo maeneo mengi sana,sio soda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangewapao options,ukiwa unataka yenye sukari ujiue na kisukari then choice is yours,
Achana na soda mkuu sio nzuri kunywa maji, juice fresh, recipes za matunda Kama matikimaji,kunywa maziwa mgando..
Achana na soda kabisa kwani usilolijua Ni sawa na usiku wa giza
Mhujumu ongeza crate moja ya bia lite niongeze maisha duniani.Soda hazihaanza kunywa leo bhna.
Alafu unakuta mtu nakataa kunywa soda et zina madhara ila unamkuta kwa wiki anajidunga crate ya bia.
Dr jenebi daktari bingwa wa taasisi ya jakaya kikwete kasema juice ni hatari kwa afya zetu na zinatuua sana sababu zina fluctose,labda huo mtindi unaweza kuwa salamaAchana na soda mkuu sio nzuri kunywa maji, juice fresh, recipes za matunda Kama matikimaji,kunywa maziwa mgando..
Achana na soda kabisa kwani usilolijua Ni sawa na usiku wa giza
Kwanini maziwa mgando na sio siwa fresh!
Toa sababu za msingi
Wenzako wameachana na sukari muda mrefu sasa, wewe bado unaulizia sukari??Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals yasiyokuwa hata na radha. Mnafikiri kila mtu mgonjwa wa kisukari?
Ni sawa na kumuuzia mtu chai isiyokuwa na sukari.
Hata kama sukari imepanda bei au ndyo mmepandishiwa kodi, sio kwa kuuwa soko lenu kwa kujaza masoda yasiyokuwa na radha.
Mkiendelea hivi tutahamia pepsi alafu ayo masoda yenu mtajunywa wenyewe.
Hili ndilo alilofanikiwa kuliko lote katika utawala wake.Lakin awamu ilyopita sukari si iliuzwa had 5000 magufuli ndye akasaidia ikashuka bei sasa 2500
KhaaaaAnza kunywa K vant,Konyagi,Nzera na ndugu zao wa aina hiyo.
Hizi sio tamu mdomoni ila ni tamu kichwani.
Asante dada kwa ushauri wako ntafuata maoni yako.Fanya mazoezi sana,kula utakacho.
Eff offAsante dada kwa ushauri wako ntafuata maoni yako.
Asante dada kwa ushauri wako ntafuata maoni yako.
[emoji28][emoji28][emoji28]Eff off
Eff off