Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukar

Wangewapao options,ukiwa unataka yenye sukari ujiue na kisukari then choice is yours,

Ukweli masukali sio soda tuu

Makeki
Majuice
Vitumbuwa baadhi vinakuwa na Sukari sana
Kona za kulamba sukari zipo maeneo mengi sana,sio soda tu
 
Kwanini maziwa mgando na sio siwa fresh!
Toa sababu za msingi
Achana na soda mkuu sio nzuri kunywa maji, juice fresh, recipes za matunda Kama matikimaji,kunywa maziwa mgando..
Achana na soda kabisa kwani usilolijua Ni sawa na usiku wa giza
 
Achana na soda mkuu sio nzuri kunywa maji, juice fresh, recipes za matunda Kama matikimaji,kunywa maziwa mgando..
Achana na soda kabisa kwani usilolijua Ni sawa na usiku wa giza
Dr jenebi daktari bingwa wa taasisi ya jakaya kikwete kasema juice ni hatari kwa afya zetu na zinatuua sana sababu zina fluctose,labda huo mtindi unaweza kuwa salama
 
Kwanini maziwa mgando na sio siwa fresh!
Toa sababu za msingi

Aliyesema juice ya matunda fresh haswa ndio jibu sahihi mambo ya lactose....suclose, galactose nk wanajuwa watu wa biology kidogo naanza kusahau ......kuna aina ya mfumo wa sugar sio tatizo na aina zingine ni tatizo
 
Wenzako wameachana na sukari muda mrefu sasa, wewe bado unaulizia sukari??
 
Nilinunua Fanta bila kusoma kizibo.
Nilishangaa sana, sikuweza hata kuimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…